Tusije rudia Makosa! VAR ikiingia Tanzania, kiswahili chake kitakuwa nini?

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
25,639
2,000
Wakati DSTv wakiwa peke yao Ktk dunia ya kidigitali hapa bongo, wakaamua kuleta msamiati unaitwa "DIKODA" ambapo kikazoeleka Kiasi hata BAKITA walipofafanua kuwa kifaa husika sio dikoda, ni KISIMBUSI, imekuwa Kazi watu kuzoea!

Kosa lingine tukalifanya kwenye PASSWORD, tulichelewa na matokeo yake Hata tulipoambiwa ni NYWILA bado tumekuwa wazito!

Sasa huko duniani Kuanzia WC, Bundesliga, La liga kote huko VAR imeshika kasi, naomba tujiandae endapo ikifika hapa kwetu, badala ya VAR, sisi waswahili tutaiitaje hii teknolojia? Au ndio tutatohoa na kuitwa hivo hivo?

Nawakaribisha kwa mapendekezo!
 
Mbushuu

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
1,975

Msaada wa Runinga kwa Refa.
 
Jembekillo

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
4,299
2,000
V.A.R (Video Assistant Referee)

Hii ni picha mwendo (video) inayomsaidia mwamuzi katika matukio yenye utata uwanjani.

Nadhani kwa lugha yetu basi tuite
Kisaidia Mwamuzi cha Pichamwendo au K.M.P

Au katika kumuenzi Rais wetu mzalendo basi VAR tuiite
MAGUFULI kwa lugha yetu usiniulize kwa nini maana nasifiasifia tu ili mradi nipate hata ukuu wa district.
 
Frustration

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
762
1,000
Wakati DSTv wakiwa peke yao Ktk dunia ya kidigitali hapa bongo, wakaamua kuleta msamiati unaitwa "DIKODA" ambapo kikazoeleka Kiasi hata BAKITA walipofafanua kuwa kifaa husika sio dikoda, ni KISIMBUSI, imekuwa Kazi watu kuzoea!

Kosa lingine tukalifanya kwenye PASSWORD, tulichelewa na matokeo yake Hata tulipoambiwa ni NYWILA bado tumekuwa wazito!

Sasa huko duniani Kuanzia WC, Bundesliga, La liga kote huko VAR imeshika kasi, naomba tujiandae endapo ikifika hapa kwetu, badala ya VAR, sisi waswahili tutaiitaje hii teknolojia? Au ndio tutatohoa na kuitwa hivo hivo?

Nawakaribisha kwa mapendekezo!
Wachawi tunajua kiswahili chake maana tunatumia usiku kuhakikisha haupiti eneo lenye zindiko, muulze babu au bibi yako atakuambia
 
Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
25,639
2,000
V.A.R (Video Assistant Referee)

Hii ni picha mwendo (video) inayomsaidia mwamuzi katika matukio yenye utata uwanjani.

Nadhani kwa lugha yetu basi tuite. Kisaidia Mwamuzi cha Pichamwendo au K.M.P. Au katika kumuenzi Rais wetu mzalendo basi VAR tuiite. MAGUFULI kwa lugha yetu usiniulize kwa nini maana nasifiasifia tu ili mradi nipate hata ukuu wa district.
Mkuu hicho kitu sio kizuri Mkuu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom