Wakuu uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kujua maana mbalimbali za maneno tata.
Mfano:
KATA - Kata mti | Kata kiuno
Nipe neno na wewe lenye maana zaidi ya moja.
Linaweza kuonekana swali la kipuuzi lakini haya maneno kama huwa yanatatiza.
Hivi mtu akisema ananifahamu na mwingine akasema ananijua. Wanaweza kuwa na maana sawa? Au yanatofautiana wapi. Je...
klabu ya As Roma ya nchini Italia kupitia ukurasa wake wa tweeter, imedokeza kuwa hivi karibuni watakuja na ukurasa mwingine wa kijamii ambao utakuwa unaendeshwa kwa lugha ya kiswahili.
ndugu na...
Wanabodi,
Lugha ni nyenzo kuu ya mawasiliano, na ukitaka umkamate mtu vizuri mwezeshe aifahamu lugha yako ili aione ndo lugha ya kistaarabu kuliko lugha yake, na ili kuimarisha mawasiliano na mtu...
Nilipata kumsikia mtu akisema hangependa aitwe "mswahili". Nikapatwa na maswali mengi kichwani kwani mtu huyu alikua mzawa, mweusi na anaishi DSM.
Kabla sijamtaka undani kwa kauli yake hii...
Wakuu mimi naomba mnitoe ushamba kidogo. Inaonekana nimepitwa na wakati kidogo kuhusiana na hili neno "kujimwambafy". Nimekuwa not kilisoma sana hapa karibuni na sielewi kabisa linamaanisha nini...
Maintenance. Actions performed to keep some machine or system functioning or in service. [wiktionary]. Tusichangananye maana na matengenezo Repair. To restore to good working order, fix, or...
Habarini wakuu,
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna huu msemo uliozoeleka wa "utakiona cha mtemakuni" huu ni msemo wa kuonya au kutisha kuwa usipofanya kama ulivyoelekezwa...
Hii sio sahihi, Kama na wewe una neno ambalo sio sahihi tafadhali tujulishe pia
1 Chips mayai = Viazi na mayai
2 Shule ya Sekondari = Shule ya upili
3 Tochi= Kurunzi
4 Dingi = Baba
6 Kompyuta =...
SHAABAN ROBERT, MSWAHILI ALIEMUDU KIINGEREZA.
Watu wengi hudhani kwamba kuwa mfuasi wa kiswahili ni ishara ya kwamba hufahamu lugha ya kingereza,na wengine huamini kwamba kupigania kiswahili ni...
I was wondering if there were sites (like Fictionpress.net for example) where i can find stories, but in swahili. Do you know any? I'm looking for a good swahili novel/story to read, but i haven't...
Nimekutana na huu msemo kwenye jamii fulani, 'cheka na watu uweze kuvaa viatu'.nimeutafakari sana na mpaka sasa sijajua maana yake wakuu.Nisaidieni una maana gani?
Ikawa tunaita Yanga, mpaka leo hii ni Yanga tu, hivi kwa nini hawakubadilisha jina na kuleta lingine lenye maana? Mbona Simba walibadilisha kutoka Sandalendi (Sunderland)?