Mfano: Mtoto kaomba aende kucheza, mzazi kamkatalia makusudi tu. Mtoto kwa kuwa amekwazika atabamiza mlango puh ili tu kuonesha jinsi gani amekwazika kukataliwa kutoka.
Hicho kitendo cha mtoto kubamiza mlango ndio mfano wa kisirani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.