Wandugu!
Nimekuwa nikisikia sana kuhusu hii kitu inayoitwa karma ikihusishwa na kutenda mabaya tu. Namnukuhu mtu mmoja akisema "I'm letting karma do his dirty job!"
Karma ikoje? Nini maana yake...
Nimekua nikisikia mara kwa mara wachambuzi mbalimbali hasa katika vyombo vya habari ikiwemo Televisheni na Radio wakichambua kuhusu mada za ukuaji wa lugha ya Kiswahili kama vile kuongezeka kwa...
Kilicho Chako ni Chako
1
Nasema yalo nisibu, ukweli nawaeleza.
Sitaki niwe ja bubu, na nyie mkateleza.
Mkapata masahibu, leo hii nawajuza.
Kilicho chako ni chako, vya watu vina maneno
2...
Maana ya Riwaya kwa ujumla
Riwaya ni masimulizi ya kubuni ya kinathari yenye msuko au mpangilio fulani wa matukio au ploti inayofungamana na wakati au kusawili wakati na yenye visa vingi...
Nimekuwa nikisikia sana huu msamiati, kwangu ninachoelewa ni kuwa ni ndoto za kutisha.
Kuna maana nyingine nje ya hapo au ni tofauti na ndoto au ni dubwana linalosababisha kitu kwenye ulimwengu...
Kula ilonona
Niliyowaza ni mengi, hadi kuandika hili
Ni usia wa mvungi, aliompa Sadali
Wa kilemba au shungi, kila mtu yake hali
Kama wataka haramu, basi kula ilonona
Usifanye kwa kuiga, kuona...
Sina wivu na wewe, kwani huyu ni mkeo
Ananifwata mwenyewe, toka kale sio leo
Natamani uelewe, kisha uwe na upeo
Mkeo kaanza kwangu, na mimi ndio wa mwanzo.
Mimi sinayo makosa, japo siyatendi mema...
Muishi milele wadau wa jf
Naomba kufahamishwa maana za maneno haya kama yanavyotumika katika dini yakiislamu;
- Juzuu
- Kuran
- Msaafu
- Ulamaa
Karibuni
Nipo natafakari namna nchi hii imekuwa, hakuna jambo baya kama kumtambua mtu na kumponda kwa kutumia kiashiria cha kabila lake.
Hivi karibuni kumezuka tabia ya watumiaji wa mitandao hasa katika...
NAJIPA MOYO.
Matatizo niliyo nayo, kuyabeba ni michosho
Lakini hali iwayo, naloa maji ya jasho
Bado ninajipa moyo, kuwa nitapata kesho.
Ninapotazama mbele, giza nene naliona
Lini nitafika kule...
Natumai nyote muwazima wa afya ya akili na mwili. Leo napenda kuweka sawa matumizi sahihi ya majina haya haya ambayo yamekuwa yakitumika visivyo kuwakilisha rika na jinsia ya kundi husika la watu...
Ni mtu anayefurahia mateso ya wengine mfano
Akiona unapata mshahara milioni mbili anataka upungue upate milioni moja.
Akiona watoto wako wana amani na furaha anataka kukufukuza kazi ili dunia...
Unakutana na mwanamke au mwanaume amevaa kapendeza ananukia marashi kwa mtazamo unakubali kuwa ni full package.
Shida inaanza pale anapoongea unakuta na ile lafudhi yenyewe ya kikabila mpaka...
Mzungu mmoja aliwahi kunikebehi akasema sisi Waafrika kwy Kiswahili tunamuita mtu toka nchi za Magharibi Mzungu, akaniambia ebu sasa ondoa herufi z kwenye neno Mzungu alafu ulisome.
Akajinasibu...