Kumbe neno Msenge ni Kiswahili fasaha na sio la kihuni hivyo kuweza kutumika Mahali popote hata Bungeni

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
907
Msenge (kwa Kiingereza: Transgender) ni aina ya watu ambao hujisikia, hujifikiria na kujiona au kujiigiza tofauti na jinsia zao za kuzaliwa nazo. Kundi hili dogo hujumlisha watu wanaokusudia kujamiana sawa na wengine, yaani mume na mke, lakini wao ni mwanamume kwa mwanamume na kujidai kuwa sawa na wenzao ilhali si sawa na wenzao.

Wasenge wengi ni mashoga ambao huona kwamba jinsia waliyozaliwa nayo si sahihi, hivyo wanadai kutambulika katika jamii vile wanavyojisikia, kwa mfano waweze kutumia vyoo vya jinsia wanayoipenda, kushiriki michezo ya jinsia wanayotaka na kufungwa gerezani pamoja na watu wa jinsia wanayojisikia ingawa sivyo walivyo na hatimaye hata kubaka wanawake halisi walioko .

Credit Wikipedia.

Nawasilisha
Kukumsela
 
Kumbe ni neno linalotumika kwa jinsia zote? Mimi nilijuaga anayekua MSENGE lazima awe mwanaume

Ushoga na usagaji unatufanya tuanze kuwa na matumizi makubwa ya maneno yasiyofurahisha

Mungu tusaidie
 
Kumbe ni neno linalotumika kwa jinsia zote? Mimi nilijuaga anayekua MSENGE lazima awe mwanaume

Ushoga na usagaji unatufanya tuanze kuwa na matumizi makubwa ya maneno yasiyofurahisha

Mungu tusaidie
Yeah upo sahihi kabisaa mkuuu
 
Ukweli mchungu ni kwamba huwezi kuyatumia kwa uhuru na staha, kama ambavyo mtu angetumia ^ushoga.^

Ni rahisi na jambo la asili zaidi kusema ^Idadi ya mashoga imeongezeka,^ kuliko kusema, ^idadi ya wasenge...^


Nakutafuta kama $
 
Biblia nayo ina maneno makali. Wafiraji,

1 WAKORINTO 6:9-11
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti


1 TIMOTHEO 1:9-11
9 Lakini tuelewe kwamba sheria haikuwekwa kwa ajili ya wenye haki, bali kwa ajili ya waasi na wasiotii: wasiomcha Mungu na wenye dhambi; wale wasio watakatifu, walio wachafu; wale wanaow aua baba zao na mama zao; wale wanaoua binadamu; 10 wale walio wazinzi, wafiraji; wale wanaoteka watu nyara, na waongo, na wanaoapa kwa uwongo; na mengine mengi ambayo ni kinyume cha mafundisho ya kweli,
 
Miili yetu ina sehemu za siri zenye majina yasiyotumika kama yalivyo. Niliwahi kusoma kitabu cha daktari mmoja ambaye pia amewahi kuwa waziri wa afya, sehemu za siri zimechorwa na kuitwa majina yake halisi bila tafsida.

Cha ajabu majina ya sehemu za siri yanajulikana hata na watoto wadogo japo hayatumiki katika kuyataja yanaitwa kwa jina jingine kabisa. Sehemu za siri na jina linakuwa la siri
 
Hao wanaoitwa basha ndio wafiraji, ila neno wafiraji ni kali sana halitumiki ni kama tusi
 
Kumbe ni neno linalotumika kwa jinsia zote? Mimi nilijuaga anayekua MSENGE lazima awe mwanaume

Ushoga na usagaji unatufanya tuanze kuwa na matumizi makubwa ya maneno yasiyofurahisha

Mungu tusaidie
Kwa asili hilo neno halijawahi kumfurahisha yeyote, si sasa, si enzi hizo.
 
Back
Top Bottom