Kutakuwa na mgomo wa madereva wa malori yanayosafirisha mizigo kesho.
Nimepakia mzigo wangu kwenye lori ila nimepewa angalizo, kwamba kesho hawatashusha sababu kutakuwa na mgomo. Labda kama...
KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL
Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.
Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.
Hata hapa walipofikishwa...
Anaelezwa kuwa hakuwa alim (mwanachuoni) wa dini pekee, bali alikuwa mwanasiasa shupavu ambaye historia ya Tanganyika haiwezi kuandikwa bila kumtaja. Alikuwa na ushawishi mkubwa kwa viongozi wa...
Tarehe na mwezi kama wa leo (21. May. 1996) Tukiwa kama familia, tulikuwa tukivuna mpunga katika majaruba yaliyopo maeneo ya airport mwanza.
Ghafla kupitia kijiradio kidogo cha mkononi (philips)...
MAKTABA IMETEMBELEWA NA OMARI KASSIM KIBASILA KINYING'INYA CHA PAZI KIBASILA
Kijana Omari Kassim Kibasila leo ametembelea Maktaba na tumefanya kipindi kuhusu historia ya babu yake ambae umaarufu...
Kijana mhadhiri wa historia katika moja ya vyuo vikuu kanifahamisha upinzani dhidi yake jinsi anavyosomesha historia.
Nimemwandikia hayo hapo chini:
WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 NA AL...
Huyu mzee ameibadilisha kabisa historia ya Tanganyika na Tanzania ambao wengi hatukuijua.
Kwa mfano wanawake 10
Bibi Titi Mohammed
Mhamasishaji mkuu wa TANU (1955–1959). Mohammed Said anasisitiza...
Kutokana na kukua kwa teknolojia na Kusahaulika kwa Tamaduni zetu hasa kwa asilimia kubwa sisi Watanzania. Hii imetokana na imani zetu na dini zetu kulazimisha majiana ya tamaduni za wamissionari...
Katika maisha ya hapa bongo, unaweza kutana tu na mtu labda tuseme ni mfanyakazi mwenzako, au ni mfanyabiashara au hata bodaboboda akiendelea kupiga mishe zake tu za kawaida na mambo yanaenda...
Inawezekana mazingira ya kisiasa yakawa na athari kwa hali ya usalama kwa namna fulani, nchini tanzania.
Mazingira kama haya huenda yakachochea maandamano yanayoratibiwa mitandaoni na watu...
LEO HAULI YA MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMEIR
Naweka hapo chini In Shaa Allah muhadhara niliotoa Chuo Kikuu Cha Zanzibar (Zanzibar University)katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Hassan bin Ameir...
"Naamka napita mitandaoni kwanza kabisa habari muhimu naikuta Aljazira wanatangaza wanasema Marekani na Irani wamekubaliana kumaliza vita. Basi mimi kwanza nikaitizama kile cha habari... Kwani...
https://youtu.be/K4wLDhyZc3M
Nimeweka hiyo santuri ya Frank Humplick kama utangulizi.
Nilikuwa napita tu mtandaoni nikakutana na hii santuri ya
Frank Humplick na dada zake wanaimba nyimbo ya...