Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
Jamani hii story niliwahi kuisikia kipindi cha Mtikila kuhusu Dola ya Bahima lakini historia yake hadi leo sijaifahamu ilianza mwaka gani, ni nani aliianzisha lakini pia ni wapi inapopatikana wapi.
Kuna tetesi niliwahi kusikia ipo Rwanda, mara Uganda, mara ipo kanda ya Ziwa, mara ipo Congo, mara Burundi, mara Ethiopia.
Anyway tuyacheni hayo yote mimi ningependa kufahamu ipi historia ya Bahima empire