Weusi wawili wakijamiana wana uwezo wa kuzaa albino ambae anamuonekanowa kizungu, ila mzungu na mzungu mwenzake wakilala hawawezi kuzaa mtu mweusi. Ifahamike mu mweusi anaweza kujichubua na kuwa...
Nimetatizika sana kila nikiwaza neno hili kiasi kwamba nikahisi nitafanyanya ubaguzi! Ila nimekuja kuelewa kuwa tanganyika ilikuwa ni jina la watu wa bara wadhaifu dhaifu kiuchumi na wasio weza...
Watanzania wote kwa ujumla,
Naomba tuandae orodha ya waliopigwa, waliofungwa, waliopoteza uhai na waliotendewa vibaya tangu Tanganyika na Zanzibar zipate uhuru. Nitatoa miafano:-
Watu wampoteza...
Anaeijua historia ya Ikulu ya Magogoni atusimulie, naambiwa ulikuwa msikiti, mzungu akapapenda akageuza makazi yake kisha kuwa Ikulu.
Hili lina ukweli wowote?
Naomba kujuzwa.
Pia soma >>...
Ilikua usiku wa tarehe 16/04/1989 ulikua pale Kicukiro safe house kama sikosei zilikuja taarifa kutokea Gisenyi safe house kua usipobadilisha circle ya watu wanaokuzunguka basi utaiingiza nchi...
Uhusiano kati ya Somalia na China ulioanza tangu enzi na dahari sasa unaendelea kukita mizizi yake zaidi kwenye nchi hizi mbili. Kupitia maonesho ya picha yaliyozinduliwa hivi karibuni na balozi...
Kiufupi...
Wamasai ni kabila wazawa wa Afrika la watu wahamaji wanaopatikana
Kenya na kaskazini Tanzania. Kwa sababu ya mila tofauti zao na mavazi na kuishi karibu na mbuga nyingi za Afrika...
Kwa kujimwambafy kwa Samia asiyeweza kuona mbele, ni rahisi kuandika ombolezo la CCM. Sijui anafanya hivyo makusudi ili kuvunja muungano au uzwazwa wa kawaida.
Wala mie sijui. Ninachojua, kwa...
Who is the Torenza Passport woman and why is the JFK Airport video going viral? Explained.
A viral video showing a woman at JFK presenting a passport from the nonexistent country ‘Torenza’ has...
PEMBA NA MAANDAMANO MAKUBWA YA ACT WAZALENDO
Nimeyaona maandamano ya ACT Wazalendo Unguja siku ya Jumamosi.
Waingereza wana msemo, "Seeing is believing," yaani kuona ni kuamini.
Maandamano ya...
SANI ABACHA, MBABE WA MAPINDUZI NIGERIA, UTAWALA WAKE ULIGUBIKWA NA UFISADI, MAUAJI,UKATILI NA UKIUKAJI MKUBWA WA HAKI ZA BINADAMU: LAKINI NI KIPINDI CHAKE NIGERIA ILISHUHUDIA MAGEUZI MAKUBWA YA...
KITU GANI HIKI WATU KUSHEHEREKEA MAUTI?
Nimeinamisha kichwa changu toka alfajir nawaza hili la watu kusheherekea kifo.
Mtume (SAW) katuasa kasema tuseme mema ya maiti zetu.
Hawa wamepitiliza...
1. Mangi Meli wa Wachaga (Aliuawa mwaka 1900)
Kiongozi wa Wachaga wa Kilimanjaro aliyepinga ukoloni wa Wajerumani.
Alikamatwa na Wajerumani, akahukumiwa na kunyongwa hadharani Moshi
Hadithi...
LENANA Ole MBATIAN, Ni Laibon (Mungu) wa Kimasai aliyepata kuishi Kenya na alitawala kuanzia mwaka 1887 mpaka miaka ya mwanzoni mwa 1900 kwa eneo la Nairobi na Tanzania pia.
LENANA, Ni miongoni...
Mjomba wangu ameniambia kuwa mkwe wake alikuwa anatoka kazini alipigwa risasi ya kichwa amefariki huko Dar.
Hakushuriki maandamano wala vurugu lakini ameuawa. Waliouawa bila kushiriki kwenye...
MAPINDUZI YA ZANZIBAR NA WAPIGA VIBOKO WA SOKO LA KASA PEMBA
Sijapata kukutana na Mzanzibari nje ya Tanzania asiwe na historia ya mateso yaliyoifika familia yake au watu anaowafahamu baada ya...
Leo nimeona niwaletee kisa cha Zambia kupoteza marais wao wawili wakiwa madarakani ndani ya kipindi cha miaka 6.
Levy Patrick Mwanawasa alikuwa Rais wa awamu ya tatu na Rais wa Kwanza kufia...
Ilikuwa tarehe Mosi September 1980 wakati ndege ya Jeshi la wananchi wa Tanzania ilipoanguka kwenye eneo la uwanja wa Taifa katika sherehe za kuwapokea wanajeshi wetu wakirejea kutoka Uganda...