Wakati naanza kuandika makala ya huyu Mzee aliyejaaliwa miaka mingi na heri hapa Duniani nikakumbuka yule dogo aliyemzaba kibao sijui yuko wapi. Kweli maisha ya mwanadamu ni hadithi tu ndiyo maana...
URAFIKI WA JULIUS NYERERE NA ZUBERI MTEMVU
Kuna mambo mengi nimeyasikia udogoni kuhusu wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika ambayo kwa wakati ule sikujua kuwa ni mambo yatakayokuja kuwa...
HISTORIA YA WANYAKYUSA.
Wanyakyusa (pia huitwa Wangonde au Wasochile) ni kabila la watu wanaoishi kwenye wilaya ya Rungwe katika sehemu za kusini za Mkoa wa Mbeya (Tanzania) na wilaya ya Kyela...
Late Tanzanian billionaire Mercy Anne Shangali Mengi was born a Princess of Shangali dynasty, daughter of King (Mangi) Abdiel Shangali of Machame, Kilimanjaro region , Chagga people of Tanzania...
MWALIMU NYERERE ALIPEWA UONGOZI WA TANGANYIKA UKUMBI WA ARNAUTOGLO APRIL 1953
Ukumbi wa Arnautoglo na Team ya Heritage Center for Liberation pamoja na TBC tunarekodi historia ya Uchaguzi wa Rais...
BARAZA LA WAZEE KABLA YA TANU
Angalia hiyo picha hapo chini:
Mbele kulia wa kwanza waliokaa: Clement Mohamed Mtamila, wa tatu Sheikh Suleiman Takadir.
Katikati aliye kati ni Jumbe Tambaza na...
Asili ya Alama "X" – Kutoka Mizizi ya Kihistoria Hadi Maana ya Kiroho
Alama X si ya kawaida tu – ni moja kati ya alama zilizotumika kwa karne nyingi katika nyanja mbalimbali:
Hisabati (algebra)...
KITABU KINACHOMUELEZA MUSSA MEMBAR ALIYETEKA NDEGE YA ATC HADI LONDON 1982
Kuna vitabu na vitabu.
Kuna kitabu na kitabu.
Kitabu hiki kinaitwa "The Activist A Story of Hijacking and Struggle for...
CHAMA CHA TANU KILIUNDWA NA WATU WENYE UZALENDO WA KWELI NA NDIYO SABABU YA KUWA NA NGUVU KUBWA
Msikilize Mwalimu Nyerere anavyoieleza nguvu kubwa ya chama cha TANU:
Mji wa kihistoria wa Hiroshima unafanya kumbukumbu ya miaka 80 tangu Marekani ilipoushambulia mji huo wa magharibi mwa Japan kwa bomu la atomiki
Wengi wa manusura ambao sasa wameshazeeka...
Jumamosi yenye shughuli nyingi, Septemba 21, 2013, Mall ya Westgate lilikuwa imeshamili wanunuzi, familia, marafiki, na wafanyakazi. Majira ya saa 12:30 jioni, watu wanne wenye silaha...
BI. MTUMWA KITETE MAMA MUUZA UJI NA VITUMBUA MCHANGO WAKE SAFARI YA NYERERE UNO 1955
Kuna jambo moja nimewahi kuelezwa na Bi. Mwamvua bint Mrisho maarufu kwa jina la Mama Daisy.
Wakati huu...
MASHEIKH WANASIASA WAZALENDO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Historia ya Waislam waliopigania uhuru wa Tanganyika ukisoma maisha yao utawakuta masheikh ambao wao usomeshaji wa dini iliku wa...
CHAMA CHA TANU KILIUNDWA NA WATU WENYE UZALENDO WA KWELI NA NDIYO SABABU YA KUWA NA NGUVU KUBWA
Msikilize Mwalimu Nyerere anavyoieleza nguvu kubwa ya chama cha TANU...
Wakurugenzi,
Nilibahatika kuzaliwa kijiji kimoja na Chritopher Kasangatumbo, alikuwa si mbinafsi mjamaa wa kweli, nilibahatika kumjua nikiwa kijana mdogo sana pale kijijini kwetu ipole, alikuwa...
Nimejaribu kufuatilia mazungumzo ya kipindi cha uongozi wa Idi Amin akiwa kama rais wa nchi ya Uganda, pamoja na mwenyekiti wa umoja wa nchi za kiafrika, nikagundua alikuwa ni mtu mwenye kipaji...
Kazi yoyote ya mikono ya binadamu itakuwa na makosa.
Kazi iliyokamilika ni yake Allah peke yake.
Yameonekana makosa katika kitabu cha Mwalimu Nyerere.
Prof. Kabudi ana haya ya kusema kuhusu...
HISTORIA YA PICHA YA WANAWAKE WATANO WALIOMSINDIKIZA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE UWANJA WA NDEGE SAFARI YA KWANZA UNO 1955 IMEKAMILIKA
Kuna picha mashuhuri mbili za safari ya kwanza ya Mwalimu...