Jukwaa la Historia

On JF:

Habari wanahistoria wa JF.Nilipata kusikia kuwa jengo la kituo cha Police kilichopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam hapo mwanzo kabla halijajengwa hilo kituo kilikuwepo mtaa huo huo wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni nani walimuua Abdul Massoud yule mtangazaji wa RTD kipindi cha michezo miaka ya 80? Nasikia wauaji wake walimfuata nyumbani kwake wakampiga risasi bila kuchukua kitu chochote, aliuliwa kwa kisa...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
TARIFA YA KIFO MOHAMED OMARI MKWAWA Mohamed Omari Mkwawa Akiwa Amekishika Kitabu: "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," kitabu kilichoandikwa na Dr. Harith Ghassany Mzee Mohamed Omari Mkwawa au kwa...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
B.bukuku alivyomwimbia lowassa bavicha walikuja juu hata kumtusi na kumdhalilisha mtumishi mungu,vipi leo flora kumwimbia mdee?? Tunataka mje na majibu hapa bavicha
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Serikali ya Tanzania haina ubunifu kwa sasa wanachukua mikopo kwenye bank zetu na mashikika ya kijamii kama NSSF kwa 16% wakati serikali nyingine duniani zinakopa kwa 2%-3%. Kitendo cha serikali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitabu kizuri sana kwa historia na athali za mabadiliko ya kimfumo.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Utangulizi Baada ya kupokea picha hii kutoka katika nyaraka na picha alizoacha marehemu Ali Msham picha ambazo alinipatia mwanae Abdulrahman Ali Msham na kwa kuzingatia pia kabla sijapatapo...
9 Reactions
45 Replies
17K Views
OXFORD UNIVERSITY PRESS (OUP) WATOA TOLEO LA PILI LA "THE TORCH ON KILIMANJARO" Toleo Jipya la Pili (2015) Toleo la Kwanza (2007) Kitabu hiki kilikuwa katika mradi wa Oxford...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), Nicolaus Mgaya., amemsifia rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa katika awamu yake ya uongozi unaokaribia miaka kumi sasa amaetatua kero...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani kumbe Wahehe wa Iringa ndio hawa Walugulu wa pale Morogoro?! Yaani bila kuwepo Wahehe basi Walugulu wasingekuwepo daima. Picha kamili ipo hivi; Wakati wa Utawala wa Mjerumani pale...
2 Reactions
20 Replies
10K Views
Wana Jf, Je? Nikweli mwanamapinduzi wa Kikuba (Ki-Cuba) mwenye asili ya Argentina, Ernesto Che Guevara amewahi kuzuru Tanzania zaidi ya mara moja na je? Lengo lilikuwa ni nini?
3 Reactions
59 Replies
25K Views
Baada ya kupitia historia ya Oscar Kambona, kuna sehemu amekiri kuwa hawa watatu hawakuwa Raia wa Tanzania.Hii ilitokana na Nyerere pia kudai kuwa Kambona hakuwa raia, sasa wanahistoria ukweli uko...
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Che Guevara alifika Congo kusaidia harkati za kupambana na ukoloni mambo Leo,alikaa kwa miezi 7 ,akagundua kuwa viongozi aloshirikiana Nao hawakuwa mwamko wa kisiasa hali iliopelekea che akaondoka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Je Ni kweli waislam waliupinga Uhuru kwa mujibu wa mashekhe hawa;- Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
As we watch horrific images of beheadings from the country formerly called Iraq - a country that is disintegrating into various tribal fiefdoms before our eyes - it is easy to forget that it was...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
1st Century B.C. Cushites from Ethiopia settle in Tanganyika. 2nd Century A.D. Agriculturists from Cameroun and Nigeria settle in Tanganyika and Iron Age Civilization develop. 7th Century A.D...
5 Reactions
9 Replies
5K Views
Yale yote tuliyoyakataa, tumetakubali bila hofu wala kutambua wazee wetu waliuawa kwa kutaka kuwa huru.viongozi wa afrika ni kama hawampingi mzungu tena.mwenye kuelewa ni kwa nini haya yanatokea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikihuzunishwa na jinsi mwanamapinduzi huyu anavyobezwa na kutukuzwa Nyerere pekee katika Muungano wa Tanzania. Naomba mwenye ufahamu kuhusu historia ya mzee Karume atufahamishe ili na...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari Wana JF…. Kwa woote ambao ni wadau wa Siasa from whatever side wapo…. Ni wazi na dhahiri kua the Political party na Uongozi wa sasa wa CCM’s days are numbered… it may not be very soon...
18 Reactions
112 Replies
12K Views
Waheshimwa, nafurahi kutangaza kitabu kipya kuhusu Mwalimu Nyerere na siasa za miaka ya kwanza baada ya uhuru. Kwa bahati mbaya hardcover inayopatikana sasa ni gharama sana, lakini nategemea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…