Mjerumani asema "Tulia niwapige picha!"
Tumetoka mbali!
Hospitali ya Tanga 1914.
Tanga kulikuwa na mapigano makali 1914.
Hao wanawake walifungwa kama watumwa. Sikuweza kupata maelezo ya kisa...
Hawa ni watu ambao walitaka kuipitia njia "ndefu" ya mchepuko ya upinzani chapuchapu ili kuwafikisha kwenye njia kuu ya kuingia Ikulu lakini sio watu wa kuishi na kudumu kukaa na kuishi maisha ya...
Kuna kitu nimesikia hivi karibuni kuna watu wanasema 'hatuwezi kujibizana na mgonjwa'. Mimi nimeichukulia kauli hiyo kama tu kucheza na fikra za watu wengi (hasa huku kwetu wengi bado...
Dar es Salaam ni jiji kubwa kuliko yote nchini Tanzania . Pia ni jina la Mkoa wa Dar es Salaam . Dar es Salaam ni mji mkongwe na wenye mamilioni ya watu katika nchi ya Tanzania. Dar es Salaam ndio...
MAZIKO YA KUSTAAJABISHA DUNIANI
1. Kabila la Dani kutoka bonde la Baliem Magharibi mwa Papua huko nchini New Guinea na mila za kukata vidole
Kwa upande wa kabila la Dani (au Ndani) ambalo...
Mji wa Babati ni mji wenye historia ya kipekee nchini Tanzania.Kihistoria asili ya jina ‘BABATI’limeanzia tangu miaka ya 1918 wakati wa ujenzi wa barabara iliyokuwa ikipitia katika maeneo ya mji...
Nianze kwa semi hizi za wahenga,
Heri nusu shari kuliko shari kamili"
Funika kombe mwanaharamu apite
Majuto ni mjukuu
.Siri ya mtungi aijuaye kata.
Kama kuna unayoijua tupia hapa tuwakumbuke...
KATIKA mwezi wa Machi hali ya hewa jijini Accra, Ghana, huwa inaudhi bila ya kiasi kwa joto linavyokuwa kali. Jioni ndipo huzidi kushtadi. Nadra mvua kunyesha.
Siku moja Machi 1958, saa za...
Na
Dr. Christopher Cyrilo
Utamaduni wa kuweka picha ya mtu kwenye pesa za noti au sarafu umekuwapo tangu kale. Historia inaonesha kuwa mtawala wa zamani wa dola la Rumi, aliyekuwa pia jemedari...
Wasafwa ni kabila toka jamii ya wabantu wanaozungumza lugha yenye uhusiano wa moja kwa moja na kibantu yaani lugha ya kisafwa.
Kwanza tuangalie nini au chanzo cha neno Safwa.
NENO "SAFWA"...
Taarifa: Dar/Iringa. Madiwani wawili wa Chadema katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wamejiuzulu nyadhifa zao na kuhamia CCM.
Wakati diwani wa Ruaha, Tandesy Sanga akitangaza uamuzi huo leo...
Alexander Alexandrovich Prokhorenko ni kijana mdogo aliyekuwa Komandoo katika Kikosi cha Kazi Maalum cha Jeshi la Urusi kiitwacho SPETSNAZ akiwa na cheo cha Luteni Mwandamizi (Senior Lieutenant)...
.
Kwa anaejua background ya huyu mbunge wa Kiteto naomba anijuze tafadhali, kuhusu taaluma, kazi, na eneo la kuzaliwa kwake "Emmanuel Papian John"
Nitashukuru kwa mchango wenu.
IDI AMIN
He killed as many as half a million people during his eight-year Ugandan dictatorship. Is it possible to distinguish the man from the monster?
Idi Amin Dada was born on 16 May 1925 in...
SIASA ZA UJERUMANI (ADOLF HITLER NA WANAZI)
Jina la Hitler limepata umaarufu mkubwa sana ulimwenguni kuliko majina ya madikteta wote waliopata kutokea ulimwenguni! Huyu alikuwa na uwezo wa juu...
Zanzibar kuna wenyeji wengi hasa Kaskazini Unguja, Tanga, angani, Mombasa nk. hujinasibu kuwa wao ni washirazi.Kuna wakati kule mombasa walikuwa wanaitwa wageni na wengi ilibidi wajichanganye...
Yameongewa mengi sana khs kuishambuliwa kwa Tundu Lisu na wengi wao wameelekeza lawama zao upande mmoja tu, yaani kwamba Tundu Lisu ni ,,innocent“ na watu walitaka kumdhuru!
Lkn wote wanaohukunu...
Vifuvu katika Shule ya Kiufundi ya Murambi, nchini Rwanda
Mauaji ya Kimbari ya Rwanda yalikuwa mauaji ya halaiki nchini Rwanda mnamo mwaka wa 1994 ambapo Watutsi , Watwa na baadhi ya watu wa...
"Wananchi bado wanaridhika na sisi kwa hiyo njia pekee watakayofanya labda watumie mabavu na kwa kutumia mabavu CCM Mbeya wanajua, Kikwete anajua, Magufuli anajua kwamba kwa mabavu kwa Mbeya uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.