Emmanuel Papian John

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
23,372
54,909
0886a057a2d809056a26f0b6c0a5eaaf.jpg
0061cfc8d9fd37b226fee7de2d8c4eb7.jpg
.

Kwa anaejua background ya huyu mbunge wa Kiteto naomba anijuze tafadhali, kuhusu taaluma, kazi, na eneo la kuzaliwa kwake "Emmanuel Papian John"

Nitashukuru kwa mchango wenu.
 
Huyu jamaa nilikutana nae mara ya kwanza 2004 huko kiteto alijitabanaisha ni Mhaya lakini lafudhi yake inaelekea kwa wale jamaa walioingiza ng'ombe wengi kwenye pori letu la akiba kule kagera
 
Sawa mkuu ngoja nisubiri wengine waje nitapata data baadhi.
 
L
Huyu jamaa nilikutana nae mara ya kwanza 2004 huko kiteto alijitabanaisha ni Mhaya lakini lafudhi yake inaelekea kwa wale jamaa walioingiza ng'ombe wengi kwenye pori letu la akiba kule kagera
Huyu jamaa nilikutana nae mara ya kwanza 2004 huko kiteto alijitabanaisha ni Mhaya lakini lafudhi yake inaelekea kwa wale jamaa walioingiza ng'ombe wengi kwenye pori letu la akiba kule kagera[/QUOTE
Wajihi wake ni wa kule kule.
 
Huyu jamaa nilikutana nae mara ya kwanza 2004 huko kiteto alijitabanaisha ni Mhaya lakini lafudhi yake inaelekea kwa wale jamaa walioingiza ng'ombe wengi kwenye pori letu la akiba kule kagera
Wewe huyu c muhaya huyu ni mnyarwada halisi na kiteto anamuda mrefu sana kuanzia miaka ya 95 nilianza kumuona katika vijiji vya Dosidosi mara akahamia kijiji cha jirani kiitwacho Engusero. Na wakati huo alikuwa ni bwana shamba akijishughulisha na mambo ya ukulima na ufugaji huku akiwa na duka lake la spea za baiskeli enzi zile ni Phonex au swala na zingine nyingi vifaa tulinunua kwa duka lake. Ni historia ndefu kidogo nikipata muda nitaielezea namna alivyoingia kwenye siasa mpka sasa ndio m bunge wa kibaya kiteto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa nilikutana nae mara ya kwanza 2004 huko kiteto alijitabanaisha ni Mhaya lakini lafudhi yake inaelekea kwa wale jamaa walioingiza ng'ombe wengi kwenye pori letu la akiba kule kagera
Nimewahi kuishi Lusubi (kwao na mama maeneo ya Biharamulo kijiji cha Kachwamba). Ni mtusi 99% kwa kumwangalia tu. Kama hatumii maziwa mnisamehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna kitu kinachomsumbua mtanzania kama unafiki nna asilimia mia moja kuwa watanzania karibia wote ni wanafiki
 
Unafiki wao unatokana nanini mkuu! Kwa kusema ukweli kuwa m bunge wa kiteto c mtanzani! Kwani uongoo! Unawajua vizuri wewe! Au wewe ndio mnafiki wale s watanzania na wapo wengi tuu pale Engusero nikutajie majina yao! Maduka yao yote wauzaji c watanzania wote ni watu kutoka kwao mfano mdogo tuu hivi karibuni walikamatwa wahamiaji haramu kwake wasiokuwa na vibali vya kuwepo hapa nchini zaidi ya watu 18 unalijua hilo! Japo cjui kesi iliishaje lakini ukweli ndio huo kwanini unaona watu kujua ukweli ni unafiki! Jitambue mnafiki niwewe usietaka ukweli ujulikane ndio nyie wote mnajifanya kondoo kumbe mafisi usiku

Mkuu hebu weka taarifa za hao watu.
 
Back
Top Bottom