Jukwaa la Historia

On JF:

Wakuu habari, Nimejikutanafikiria kwann majina ya vijiji/vitongoji/ mitaa ya mikoa tajwa hapo juu inaazia na herufi "I"? Kwa mfano mkoa wa Mbeya una majina haya: Inyara, Iyunga, Ituha, Igazo...
1 Reactions
29 Replies
11K Views
Mkoa umepakana upande wa kaskazini na mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera , upande wa kusini na Mkoa wa Tabora. Mkoa wa Kigoma uko upande wa magharibi , na mkoa wa Simiyu upande wa mashariki. ASILI...
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Dedan Kimathi 'Minong’ono ilikuwa ikisikika kutoka kanda ya ziwa kuwa kiongozi wa wapiganaji wa Mau Mau, Dedan Kimathi alikuwa anaonekana mjini Mwanza. Wakati ule pale Mwanza kulikuwa na Wakikuyu...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
NI SAMORA MOISÉS MACHEL NA KILE KILICHOITWA "KUTOKA RUVUMA MPAKA MAPUTO". Na Comred Mbwana Allyamtu. MSUMBIJI. Msumbiji (kwa Kireno: Moçambique) ni nchi ya Afrika ya Kusini-Mashariki. Msumbiji...
1 Reactions
15 Replies
9K Views
GEORGE WASHIGTON RAIS WA KWANZA WA MAREKANI MZALENDO NA MTAIFA AMBAYE FALSAFA ZAKE ZILIITENGENEZA MAREKANI KUWA TAIFA IMARA. Na. Comred Mbwana Allyamtu Sartuday -16th/12/2017. Nilidhamiria...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
On Feb. 17, the 100th anniversary of Geronimo's death, descendants of the Apache warrior filed a federal lawsuit against the secretive Skull and Bones society of Yale University demanding that the...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Alizaliwa mwaka 1909 mjini Nkrorful Ghana wakati huo ikiitwa Gold Coast. Hakuna aliyekuwa na elimu katika familia yake enzi hizo. Kwame ni jina wanalopewa watoto wa kiume wanaozaliwa Jumamosi...
9 Reactions
53 Replies
9K Views
Kwa sisi tulioishi kipindi rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yupo hai; tunaamini sana falsafa zake na hotuba zake bado zina mashiko sana.... HATA VYAMA VYA SIASA...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hili ni tukio lilitokea mwaka 1984 Uingereza. Lilikuwa jaribio la kumteka nyara na kumrudisha Nigeria Umaru Diko aliyekuwa waziri katika serikali ya Nigeria na ambaye alikuwa amekimbilia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu hamjambo?mimi sijambo ,kuna jambo moja naomba tuwekane sawa. Kuna vyama vya siasa kama CCM ambacho ni dume lao na vivyama vyama vya ajabu ajabu kama chadema,act ,cuf etc.hivi...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa mwanahistoria au muhenga aliyekuwepo au yeyote aliyehudhuria msibani kama labda walisomewa wasifu unaotoa mwanga juu ya hili, naomba kuuliza: Huyu Marehemu aliyeagwa Karimjee na heshima za...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
According to the defination of the word colonialism, Arabs they never colonized East Africa insted they come for trade activities. From the wikipedia definition of Colonialism, is the...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
TAAZIA: KOMREDI KINGUNGE NGOMBALE MWIRU (1932 – 2018) Sasa ni miaka mingi imepita lakini nakumbuka kama vile ilikuwa jana. Nimemfahamu Balozi Juma Mwapachu mwaka wa 1967 nyumbani kwa ‘’class...
8 Reactions
25 Replies
8K Views
Mzee Shebe Picha hiyo hapo juu ya Mzee Shebe nimeiona leo asubuhi tarehe 2 Februari, 2018 baada ya kuwekwa FB na Adarsh Nayar mpiga picha maarufu. Nasikitika kusema kuwa sijui mengi kuhusu Mzee...
11 Reactions
38 Replies
7K Views
JamiiForums najua kuna wasomi na wote ni waelewa. Sasa nauliza kwanini picha za marais wengine hazipo? Mfano sasa ukifika hospitali utakuta picha ya Nyerere na ya Rais Magufuli. Wakati...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mambo yalianza wakati sasa narudi Dar es Salaam na ndege ya Emirates iliyokuwa inatua usiku. Inaelekea maofisa wa pasi pale uwanjani walikuwa na taarifa zangu mapema na walikuwa wakinisubiri kwa...
57 Reactions
671 Replies
79K Views
Jina la Mshume Kiyate kwa sasa si geni tena katika historia ya TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika. Mzee Mshume alikuwa katika Baraza la Wazee wa TANU kuanzia lilipoundwa 1955. Mshume Kiyate...
26 Reactions
175 Replies
25K Views
SHAJARA YA MWANA MZIZIMA Zuberi Mwinshehe Manga Mtemvu Na Alhaji Abdallah Tambaza Zuberi Mwinshehe Manga Mtemvu Rais wa African National Congress KAMWE asikuongopee mtu kwamba, eti utaweza kuwa...
4 Reactions
27 Replies
7K Views
He he he, jamaa anaongea kwa hisia. It is a bit interesting. NB: I am not a member of his church. (Use free internet to watch, ina too many MBs). You can also convert them into...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Gawiza...!! Lugha ya kisukuma ina lahaja kuu nne; ginantuzu, ginang'weli, ginangw'agala na gidakama. Vivyo hivyo, Wasukuma wamegawanyika katika misingi ya lahaja za lugha ya kisukuma...
27 Reactions
132 Replies
62K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…