Jukwaa la Historia

On JF:

Hello wadau, Kwa yeyote anaejua historia ya mji wa iringa naomba atushirikishe, na majina mbalimbali na namna ilivyokuwa; kuna sehemu panaitwa kitanzini ilikuwaje na kina nani walinyongwa? Vita...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Egypt kuna maandishi mengi kuhusu piramidi kubwa la Gaza tutafute kama tutapata chochote kitu kuhusu kazi hizi za maajabu halafu tutarudi Peru kwenye haya mapiramidi matatu kabla hatujatoka nje ya...
5 Reactions
18 Replies
5K Views
Mnamo tarehe 15 Novemba 1884 hadi Februari 26 mwaka 1885 kwa siku 104 viongozi wa Mataifa ya Ulaya wakaa na kugawa bara la Afrika Mkutano huo ambao maamuzi yake yalipelekea kubadilishwa kwa...
2 Reactions
8 Replies
7K Views
Ukweli ni kuwa Mtaa wa Mshute Kiyate haupo kwa sababu wahusika wamekataa kubadili kibao cha jina sasa yapata zaidi ya miaka 20. Kitwana Kondo alipokuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam ndiye...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Katika historia ya waisraeli sidhani kama watakaa wasahau kibano walichokipata kwa Hitler. Majuzi walikua wanaadhimisha miaka 70 ya kuuliwa kwa wenzao wapatao millioni 6 na zaidi Mauaji hayo...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Francis Daudi, Leo Septemba 12, Dunia inamkumbuka Stephen Bantu Biko ambaye alikuwa mwanaharakati mashuhuri wa Afrika aliyefariki mikononi mwa polisi wa kikaburu huko Afrika Kusini miaka 42...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau tetemeko limepita Leo ikiwa Siku chache serikali imesaini mkataba Na Mgodi wa madini wa Dhahabu wa Geita (GGM) kuchimba Dhahabu chini kwa chini.(Underground) Tofauti na zamani walikuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MEJA GENERAL FRED EMMANUEL GISA RWIGYEMA BABA WA TAIFA NA MUASISI WA TAIFA JIPYA LA RWANDA, "KWA KILE KILICHOITWA KUREJESHWA KWA WATUSI KATIKA NCHI YA AHADI 'KANANI' (RWANDA)" Na Comred Mbwana...
7 Reactions
43 Replies
15K Views
NImesoma Historia Za Maraisi 44 waliotawala Marekani ila Nimeshtuka kuona kuna Rais Mmoja Alifariki kwa Kipindupindu Zachary Taylor, Pia Rais James Buchanan Alikuwa Bachela hakuwa na Mke.
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Siku kama ya leo tarehe 9 November 1990 Ukuta wa Berlin uliangushwa. Picha hiyo hapo chini nilipiga kama kumbukumbu yangu ya Ukuta wa Berlin nilipofika Berlin pale ulipokuwapo ukuta huo maarufu...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Ukizungumzia mafanikio ya mwanadamu mbunifu,mchakarikaji,Mjasiriamali na mfanyabiashara basi ndani yake mapenzi ya dhati kutoka kwa mwenza wake yanachukua asilimia 70 mpaka 80 kuwa ndo chachu ya...
19 Reactions
27 Replies
5K Views
Siku moja katika mazungumzo na Balozi Sykes akaniambia kuwa yeye baba yake alimtoa Kitchwelle Boys Government School na kumpeleka Kampala Uganda kwa ajili ya kupata elimu. Balozi anasema yeye...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
KITENDAWILI KATIKA KUTUNUKU MAJINA YA MITAA YA DAR ES SALAAM KWA WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Mtaa huo hapo kwenye hiyo picha hapo juu zamani ukijulikana kama Somali Street. Katika miaka ya...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
For more than 300 years, Cleopatra's family ruled Egypt. She was born the third child of King Ptolemy XII in 69 BC. Her name meant "glory of the father". Cleopatra's two older sisters died before...
2 Reactions
458 Replies
148K Views
Safari ya kwanza ya Nyerere UNO 1955 katika picha hizo hapo juu ndiyo waliomsindikiza uwanja wa ndege kulia picha ya juu ni Bi. Tatu bint Mzee, Bi. Titi Mohamed, kulia ni Bi. Chiku bint Said...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
1.Alizaliwa tarehe 13/04/1922 Butiama na kufariki tarehe 14/10/1999 kule London.Ni Raisi wa kwanza Afrika kuachia madaraka kwa hiari yake mwenyewe. 2.Ni Raisi wa kwanza kuhama Ikulu na kwenda...
12 Reactions
21 Replies
5K Views
kutokana na sababu zilikuwa nje ya uwezo wetu tulishindwa kukuletea makala siku ya Jana.
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Wana ukumbi, Utumwa ni kosa kubwa la kibinadamu. Anayemkamata mwanadamu mwenzie na kumuuza kama bidhaa ni dhalimu bila kujali ana taswira gani katika jamii. Kiujumla watu WEUSI ndio kihistoria...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Historia ya Algeria Historia ya Algeria inahusu eneo la Afrika Kaskazini ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Algeria. Historia ya kale ya Algeria Historia inayojulikana ilianza na...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…