Wana JF
Wengi ya washabiki wanaojadili mapinduzi haramu ya zanizbar ya 1964, wanakuwa wanasema watakavo au kwa mujibu wa taaluma walizipata kutoka kwa vyombo vya habari vya tz au wana propaganda...
Mzee Mohamed Omari Mkwawa au kwa jina lingine Tindo alilopewa na Karume wakati wa harakati za ukombozi Zanzibar katika miaka ya 1950 amefariki dunia usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili tarehe 5 May...
ABBAS SYKES (1929 - ) SEHEMU YA PILI:
MJUMBE WA KAMATI YA SAADAN ABDU KANDORO NA JAPHET KIRILO KUCHANGISHA FEDHA KUPELEKA MJUMBE UNO 1953
Mwaka wa 1952 Japhet Kirilo akiongozana na Earle Seaton...
GRAMOPHONE YA MWALIMU SUBETI SALUM
Mwalimu Subeti Salum Subeti
(1903 - 1974)
Mwalimu Subeti alikuwa mwalimu wa shule Kitchwele akifundisha useremala na pia alikuwa mmoja katika wapiga fidla...
Kuanzia tourist information zao mpaka politics zao kila kitu ni baada ya kuja mwarabu toka Omani
This is just ridiculous na wenyewe ukakutana nao wanakwambia mwarabu kaja kukuta pako empty!!!
Kuna watu wamefanya matukio ya kutisha lakini historia zao haziandikwi.
Kuna jambazi aliitikisa Tanzania alikuwa akiitwa Sura mbaya, si jina lake halisi bali lilitokana na matendo yake.
Jambazi...
Habari wadau,hii luninga imeanza sio miaka mingi hapa nchini kurusha matangazo jee kwa sasa inapatikana kwenye kisimbuzi gani? Napenda sana uchambuzi wa michezo na mechi walizokua wakionyesha...
Hundreds of thousands of slaves freed during the American civil war died from disease and hunger after being liberated, according to a new book.
The analysis, by historian Jim Downs of...
Historia ya mkoa wa Shinyanga inaanza hata kabla ya wakoloni kuitawala Tanganyika mwaka 1890's-1961.
Wakoloni wa kwanza kutawala eneo la sasa la mkoa wa Shinyanga walikuwa ni wajerumani walioanza...
Hamjambo? Mimi ni raia wa Msumbiji na ninafanya utafiti kuhusu asili ya Shamba 17 la Wilaya ya Nachingwea.
Ninaelewa kuwa baada ya Vita vya Pili vya Dunia, Uingereza ilitenga Shamba 17, ikiwa...
Jamani napenda kuuliza kuhusu historia ya kabila la wasumbwa hili kabila lilianza anza vipi,walitokea wapi chimbuko lao hadi kutawanyika
Maana hili kabila lipo sana Urambo,Kaliuwa,Kahama,Geita...
*Binti Phila Ndwandwe: Akili Kubwa aliyochagua kufa kuliko kumtumikia Kaburu!*
Kwa nini usife?
Ukifa utaacha nini?
Maswali ya namna hii hujiuliza watu wema
Denis Mpagaze
Kipindi cha Ubaguzi wa...
Zamani huko uchaggani kulikuwa na viongozi wa ukoo. Koo nyingi zilikuwa na umahiri/umaarufu wake, unao julikana na usio julikana, ulio andikwa na usio andikwa. Koo nyingine zilikuwa za kimangi...
Azaria C. Mbughuni
December 31, 2019 at 10:05 PM ·
''One thing that Mwalimu Nyerere did every December between 1953 and 1959.
December 1953 Mwalimu Nyerere visited Bukoba to investigate an...
Naikumbuka siku hii kama jana vile.
Nilikuwa na umri wa miaka 11 na vitu viwili vitatu ndivyo vilivyonasa kwenye kichwa changu.
Kwanza ni kumuona Mzee Abdulrahman akitoka nyumbani kwake kashika...
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Historia ya Afrika kama ilivyo ya dunia kwa ujumla, kimsingi imejaaa masimulizi ya wanasiasa mbali mbali. Lakini waadilifu hasa ni wachache. Jina la Lucio Rodrigo Leite...
Wajue Wasukuma..
Wasukuma ni Wabantu wanaopatikana katika mwambao wa Ziwa Nyanza.Wasukuma wamegawanyika katika koo zaidi ya 80.
Wanafahamiana kwa koo na tawala zao.
Jamii hii ya Wasukuma ni...
Jaws Corner
Uchaguzi wa Zanzibar 1995
Propaganda kuhusu Maalim na siasa za Zanzibar zimezoeleka nyakati kama hizi.
Yaandikwayo hupati kusikia lolote la maana kutoka kwao.
Haya wasemayo...