Salim alikuwa hapendi tule kwenye migahawa yenye vyakula vya Kizungu na siku zote akinipeleka migahawa ya Kihindi na kuna mgahawa mmoja akiupenda sana.
Mwenye mgahawa huu alikuwa Mzanzibari ambae...
karne ya 20 inakumbukwa hasa kwa dhuluma za kidini zisizowahi kutokea: hasa Ukomunisti, ulioteka Urusi ukaenea polepole hadi kutawala theluthi moja ya binadamu wote, ulipiga vita dini kwa namna...
Sheik Saleh Al-Fawzan is a well-known scholar, leading Saudi Government cleric, and prolific author of the country’s religious curriculum. He believes Islam advocates slavery. Al-Fawzan argues...
Kwaheri compañero Ernesto Cardenal
-Mwana mapinduzi aliyekuwa tayari kutokubaliana na Kanisa kusimamia alichokiamini
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Maisha yake yote alijitolea walio wengi, watu...
ALI MSHAM NA TAWI LA TANU LA MTAA WA JARIBU DUA YA KUMUOMBEA NYERERE SAFARI YA KWANZA UNO 1955
Picha hiyo na maelezo yake nimerushiwa na mmoja wa wasomaji wa makala zangu za historia ya TANU na...
SIKU MOJA NA PROF. TAJI AHMED MUHIDIN RAFIKI MKUBWA WA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Hakuna mwanafunzi wa marehemu Prof. Haroub Othman ambae hakupata kupewa rejea za Prof. Ahmed...
Hussein Amin Bicar 1913-2002
Hussein Amin Bicar alizaliwa mwaka 1913 huko Alexandria Misri. Baada ya kuhitimu masomo yake 1934 alianza kazi yake ya sanaa kuwa moja ya walimu wakubwa wa sanaa...
Utakumbuka kisa cha ajali ya ndege iliyotokea mwaka 1972 iliyoanguka Amerika ya Kusini kwenye milima ya barafu ya Andes iliyo Argentina na Chile, kati ya abiria na waendeshaji 50 wakiwemo...
WABENA ni kabila la kibantu linalopatikana katika eneo la Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania wilaya ya Njombe mkoa wa Iringa. Lugha yao inaitwa Kibena na makao yao makuu yanaitwa Ubena.
Makao...
Perpetua alizaliwa huko Tunis (Mji mkuu wa Tunisia) Afrika ya Kaskazini mwaka unaokadiriwa kuwa wa 182, alizaliwa katika familia ya kitajiri, yenye kuheshimika sana, baba yake alikuwa ni mpagani...
Tarehe 12 January 1964 ni siku itakayoendelea kukumbukwa kama siku ya mwisho ya ukomo wa utawala wa KiSultani visiwani Zanzibar.
Kuna mambo mengi ambayo hayakuwekwa wazi kuhusiana na mapinduzi...
Katika gazeti la Hoja (Ijumaa, Novemba 15 – 21, 2019), kuna makala ‘’Mufti Zubeir alivyoikarabati BAKWATA,'' iliyoandikwa na Hemed Kimwanga.
Makala hii ingepita kama makala nyingine yeyote ile...
NYERERE KATIKA MACHO YA PROFESA AHMED MUHIDIN
Gazeti la Raia Mwema Machi 25 - 31, 2020 wamechapa makala ya Prof. Ahmed Muhidin akimzungumza Mwalimu Julius Nyerere.
PROF. AHMED MUHIDIN ANAMUELEZA...
Interesting history!
They used to use urine to tan animal skins, so families used to all pee in a pot & then once a day it was taken & sold to the tannery. If you had to do this to survive you...
HUYU NDO CARL PETERS ALMAARUFU "MKONO WA DAMU"
ANAYECHUKIWA MNO NA WATANZANIA.
Carl Peters mjerumani tapeli aliyewazuga machifu na kupoteza uhuru wao aliwahi kutamka kwamba, "kuwapa uhuru watu...
Habari wakuu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada
Natumaini wote tumeshasikia mengi sana kuhusu alexander the great ila kuna mambo machache yananitatiza na tusaidiane kujuzana...
Musa Keita I came into power in 1312. When he was crowned, he was given the name Mansa, meaning king. It is said that Mansa Musa had conquered 24 cities, each with surrounding districts containing...
Inafahamika kwamba binadamu wa kawaida, akizidi sana basi anakuwa na urefu wa futi 7 na hapo kila mtu anamshangaa! Hashim Thabeet, mcheza kikapu wa nchini Marekani mwenye asili ya Tanzania, ana...
Kila karne, hususan katika kilele cha kipindi kinchoishia '20' dunia inakumbwa na maradhi makubwa ya kufisha? Yaani namaanisha: 1120, 1220, 1320, 1420, 1520, 1620, 1720, 1820, 1920, 2020, 2120...