HISTORIA YA MOROGORO, NNE YA KIRUMI NA ASILI YA BOKA, NYOKA MWENYE VICHWA SABA KATIKA MILIMA YA ULUGURU.
Leo 15:15pm 14/06/2020
Wakati wa likizo tukiwa wadogo tulipofunga Shule pale Bungo...
Zanzibar mwaka 1200
HISTORIA YA NENO ZANZIBAR:Ukweli ni kwamba kila kilichopo hapa duniani kina historia yake. Na ifahamike kuwa kabla ya kuja kwa wageni katika bara la Afrika, kila kitu kIlikuwa...
Huyu alikuwa ni sister wa kanisa Katoliki, anaelezwa kuwa wakati wa uhudumu wake alihofiwa kuwa alikuwa anamilikiwa na nguvu za giza. Jina lake kamili anaitwa Sister Josephine Rosenthal.
Mwaka...
WASIFU WA JULIUS NYERERE: NANI ATAKUWA NA UJASIRI WA KUISAHIHISHA KAULI YA MWALIMU PALE ALIPOKOSEA TAARIFA KATIKA HISTORIA YA TANU NA MAISHA YAKE MWENYEWE?
Nasoma kitabu cha historia ya Mwalimu...
Jana usiku rafiki yangu kaniletea clip ya huyu mzee anapiga gitaa mtaani.
Huyu sahib yangu kaniletea hii clip kwa kuwa ni mimi ndiye niliye mtia yeye kwenye muziki wa kupiga gitaa kupitia muziki...
Huyu mzee wa historia ni mtu asiyekata tamaa. Naangalia Jukwaa la Historia kwa siku sikosi kuona threads zake mpaka mbili au tatu.
Pamoja na vijana wengi kwa ujivuni wao wanaonekana kutochangia...
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU WILFRED MWABULAMBO ALICHARAZWA VIBOKO KWA KUMGOMEA RAIS NYERERE!
Wanafunzi wanapogoma au kufanya maandamano, dola hujibu mapigo kwa njia anuai. Ipo mifano ya wanafunzi...
NEMBO YA SIMBA
👉Kama wewe ni mpenzi wa kuangalia filamu za Hollywood, pasi na shaka utakuwa umekutana na neno MGM.
MGM ni kampuni ya utayarishaji na usambazaji wa filamu na vipindi vya Runinga...
JECHA NA NAFASI YA RAIS WA ZANZIBAR
Kuna mambo hayatokei kokote duniani ila Afrika na ukipenda unaweza ukasema Zanzibar.
Hebu fikiria kwa dakika moja tu mathalan Jecha kashinda uchaguzi wa rais...
leo akati napita pita mtandaoni nikaona hii kitu.
Inasemekana kwamba kuna watu waliongeza miaka ili wawepo kwenye histori ya dunia. Mfano
Julian calendar na Georgian calendar
[Julia caesur...
MJUE RAIS MTEULE WA MALAWI MH LAZARUS MCCARTHY CHAKWERA
Na Elius Ndabila
0768239284
Nchi ya Malawi wiki hii ilifanya uchaguzi ambao matokeo rasmi yametangazwa leo na kumpatia ushindi Mh...
HAZINA NILIYORITHISHWA NA MWALIMU WANGU MZEE KISSINGER
Wanafunzi wote duniani hurithishwa hazina ya ilm katika vitabu na mfano wa hivyo kutoka kwa walimu wao baada ya walimu wao kuondoka duniani...
Wachina wanasherehekea sikukuu ya Duanwu kwa njia mbalimbali za kijadi ikiwemo kuweka vifuko vidogo vilivyojazwa manukato na dawa za mitishamba kwenye nguo zao, kula Zongzi ambacho ni chakula cha...
Mwanachama mwandamizi wa Saigon Sheikh Aziz Salim akiagana na Dr. Mohamed Ali Shein aliyehudhuria kisomo cha kumrehemu Dr. Omari Ali Juma kilichofanyika Club ya Saigon Mtaa wa Narung'ombe na...
WASIFU WA JULIUS NYERERE:
USAJILI WA TANU, VIZINGITI VYA SERIKALI, KUSAKA WANACHAMA NA SAFARI YA UNO 1955
Naendelea kusoma kitabu cha pili cha maisha ya Mwalimu Nyerere.
Historia ya TANU na...
Mpaka ninapoandika uzi huu, kama sio lockdown ya corona, huko Misri kuna watoto wangekuwa darasani kwenye somo la historia wanajifunza habari za Mwebrania aliyeitwa Yusufu.
Huyu ndo yule jamaa...
Kuna somo muhimu sana hapa:
ALLY HASSAN MWINYI, BABA WA HEKIMA!
Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 1983 (kama sijakosea) nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar...
February 1936 mwili wa mwanaume Giuseppe Veraldi maarufu kama Pepe ulipatikana chini ya daraja huko Catanzaro Italia, ilionekana kuwa aliruka kutoka kwenye daraja na kichwa chake kujibamiza kwenye...