Wasifu wa Julius Nyerere: Historia ya TANU - mhadhara Muslim University Morogoro (MUM) 2018

Mtwa...
Wapi kaka uzee mzigo nimechoka kama mpira wa makaratasi.
Natafuta Sana vitabu vya Alfu Lela ulela, jamaa hodari kisiwani, mashimo ya mfalme sulemani na vya kufanana. Umesifiwa kuwa unahifadhi kumbukumbu, vipi nikikutembelea naweza kuvipata?
 
Anahifadhi kumbukumbu za wazee wake waliopigania uhuru, sio kumbukumbu ya vitabu vya hadithi
 
Nyerere unamuelezea kwa mikato mikato sana, ingekuwa ni Abdul Sykes ungemuelezea kwa kirefu na bashasha
 
Natafuta Sana vitabu vya Alfu Lela ulela, jamaa hodari kisiwani, mashimo ya mfalme sulemani na vya kufanana. Umesifiwa kuwa unahifadhi kumbukumbu, vipi nikikutembelea naweza kuvipata?
Mtwa...
Jaribu katika maduka ya vitabu.
 
Nyerere unamuelezea kwa mikato mikato sana, ingekuwa ni abdul sykes ungemuelezea kwa kirefu na bashasha
Laki...
Unaweza ukawa unasema kweli kwani huenda historia ninayoeleza yeye alikuwa mchezea pembeni.

Lakini ikiwa unaona sikukamilisha basi jazia hapo palipopungua.
 
Back
Top Bottom