Jukwaa la Historia

On JF:

ABDULWAHID SYKES NA HISTORIA YA TANU: "WE MZEE!" LUGHA YA DHARAU, KEJELI NA VITISHO'' Baada ya uhuru zilipoanza kauli ya kukashifu TAA na yeye mwenyewe Abdul kuwa hakuwa anaongoza chama cha siasa...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
TAAZIA: PROF. IMMANUEL KILIMA BAVU HUPIGI GOTI KWAKE KUSOMA ILA ATAKUACHA NA ELIMU YA KUDUMU Miaka mingi sasa imepita lakini mengi ya yale aliyonifunza Prof. Immanuel Kilima Bavu bado nayakumbuka...
13 Reactions
45 Replies
9K Views
Nimeona picha ya Baraza la Wazee wa TANU hapo juu. Picha hii mimi ndiye niliye ‘’digitise’’ miaka ya mwanzoni 2000 na kuiweka mtandaoni kwa kila mtu aione ikiwa ushahidi wa mchango wa wazee wetu...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
GUMZO LA HARITH GHASSANI: MOHAMED SAID ANAMWELEZA ABDUL SYKES KUTOKEA BURMA INFANTRY 1945, DOCKWORKERS UNION 1949 HADI TAA 1950 NA KUUNDA CHAMA CHA TANU 1954 Baada ya Kipindi Cha Kwanza...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
WASIFU WA JULIUS NYERERE: HOTUBA KWA WAZEE WA DAR ES SALAAM KUWAAGA WATANZANIA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE NOVEMBA 5 MWAKA,1985 "Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania...
7 Reactions
21 Replies
6K Views
KHITMA YA SALUM SHAMTE TANGA: SAYYID MUHAMMAD HASHIM AMEULIZA, ''YUKO WAPI SALUM SHAMTE MWINGINE?'' Moja katika siku kubwa za kukumbukwa katika mji wa Tanga ilikuwa siku mamudir wote wa mji wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukimtizama Dragon kwa makini kabisa kisha umtathimini halafu umng'oe mabawa na miguu kwenye ufahamu wako utapata taswira ya kiumbe fulani. Umegundua nini? Dragon ni Joka. Isipokuwa joka huyu ana...
2 Reactions
107 Replies
26K Views
NAFSI INAPOGHADHIBIKA Kuna mtu alisema maneno yasiyopendeza miaka miwili iliyopita siku kama ya leo ikabidi nimjibu lakini nilikuwa nimeghadhibika: "Jack kadri utakavyojua na kujua huwezi...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
SIKUKUU YA WACHAGGA DUNIANI (WACHAGGA DAY FESTIVAL) - Kila Tarehe 10/Novemba Ya Kila Mwaka Ilikuwa Ni Sikukuu Kubwa Sana Ya Maadhimisho Ya Siku Ya Wachagga Duniani Yaliyoendelea Kufanyika Mpaka...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwamba askari wa Uganda aliyotoka kambi ya Mtukula alivuka mpaka na kwenda kunywa kwenye baa ya Tanzania,huko kwenye baa ugomvi ukaanza akapigwa na raia wa Tanzania akarudi kambini kwakwe,kesho...
1 Reactions
44 Replies
8K Views
WIKI iliyopita nilielezea habari za vivutio vya utalii ambavyo havitangazwi na kwa kweli havitunzwi kabisa kwani hakuna miundo mbinu iliyowekwa ili vifikike kwa urahisi na watalii wa ndani. Mmoja...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
JOB LUSINDE (1930 – 2020) AFARIKI Job Lusinde amefariki dunia leo tarehe 7 Julai siku ambayo mwaka wa 1954 wazalendo 17 walikutana katika ofisi ya TAA New Street, Dar es Salaam kuunda chama cha...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
MOHAMED NA MOHAMED SOMO NA SOMO: GUMZO LA MOHAMED GHASSANI Huwezi kuchoka kumsoma wala huwezi kuchoka kumsikiliza Mohamed Ghassani. Kipindi chake ''Gumzo la Mohamed Ghassani'' kina wafuatiliaji...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
HISTORIA YA TANU KUTOKA NYARAKA ZA SYKES KISA CHA ALLY SYKES, DENIS PHOMBEAH NA KENNETH KAUNDA TANGANYIKA NA MKUTANO WA WAPIGANIA UHURU KUSINI YA SAHARA 1953 SEHEMU YA KWANZA Mwaka wa 1953...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
kifo cha mwasisi wa Taifa la Zanzibar, na pia mmoja wa waasisi wa Muungano wa Tanzania, hayati Abeid Amani Karume aliyefariki kwa kupigwa risasi na wanajeshi Aprili 7, 1972 mjini Unguja. Bado...
6 Reactions
9 Replies
5K Views
KISA CHA ALLY SYKES, DENIS PHOMBEAH NA KENNETH KAUNDA TANGANYIKA NA MKUTANO WA WAPIGANIA UHURU KUSINI YA SAHARA 1953 SEHEMU YA KWANZA Mwaka wa 1953 Harry Nkumbula alikuwa amechaguliwa rais wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SHEIKH YUSUF BADI WA LINDI Inaaminika kuwa hakuna picha ya Sheikh Yusuf Badi popote kwani alikuwa hapendi kupigwa picha. Juhudi zangu za kupata picha yake hazijafanikiwa hadi hivi sasa. Rafiki...
10 Reactions
24 Replies
4K Views
Zanzibar na Oman ♥♥♥♥♥♥ Katika historia ya Oman si rahisi kuielezea bila kuhusisha uhusiano wake na kisiwa cha Zanzibar na maeneo mengine ya Afrika Mashariki. Kuna kipindi katika historia...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili sumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…