Kuna ukweli kuwa Vita ya Kagera vurugu ilianzia bar?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Kwamba askari wa Uganda aliyotoka kambi ya Mtukula alivuka mpaka na kwenda kunywa kwenye baa ya Tanzania,huko kwenye baa ugomvi ukaanza akapigwa na raia wa Tanzania akarudi kambini kwakwe,kesho yake asubuhi akarudi Tanzania akiwa na bunduki ila alishtukiwa na raia kwahiyo hakufanikiwa ,akarudi kambini kwakwe na kuripoti kwa mkuu wa kambi,mkuu wa kambi akawasiliana na makao Makuu Kampala,gafla wakavamia mpaka na wakaongezewa nguvu na askari toka Kampala,ndo vita ikaanza.

_________

On the evening of October 9, 1978, one Ugandan soldier stationed at Mutukula military camp near the border sneaked into Tanzania for a drink.

At the bar, a quarrel started and he was roughed up by Tanzanian civilians. He later returned to Uganda disappointed.

Ready for revenge, the soldier picked his gun from his station near Sango Bay the following morning and went back to Tanzania alone, with intent to kill.

Luckily, people saw him and ran for their lives. But still filled with anger, the soldier shot in the Tanzanian territory; but no one was hurt.

He then returned to his base and reported the matter to his commander, Lt Byansi who in turn communicated to his superior, battalion commander in Kampala Lt Col Juma Oka of the Malire Mechanised Specialised Reconnaissance Regime at Lubiri.

Instead of informing his superiors, Lt Col Oka, aka Butabika (mental case), ordered Lt Byansi to immediately attack the Tanzanian territory as reinforcement came from Kampala. This is according to former Uganda Army officer UO 824, Lt Muzamir Amule, who was a friend of Lt Byansi.
 
Inawezekana haujui kama kuna vijana wa kitanzania 21 waliokua wakisomea u-pilot huko Uganda waliuwawa kwa amri ya Idd Amini

Inshort kulikua na series ya events kabla ya kuanza rasmi kwa vita ya Ug vs Tz.
 
Viol,
I don't buy this because war is science -mechanised action as a last option in any dispute.
Eti let. Col areinforce battalion baada ya kupokea SITREP kutoka kwa Lt?!! 😂
 
Kwamba askari wa Uganda aliyotoka kambi ya Mtukula alivuka mpaka na kwenda kunywa kwenye baa ya Tanzania,huko kwenye baa ugomvi ukaanza akapigwa na raia wa Tanzania akarudi kambini kwakwe,kesho yake asubuhi akarudi Tanzania akiwa na bunduki ila alishtukiwa na raia kwahiyo hakufanikiwa ,akarudi kambini kwakwe na kuripoti kwa mkuu wa kambi,mkuu wa kambi akawasiliana na makao Makuu Kampala,gafla wakavamia mpaka na wakaongezewa nguvu na askari toka Kampala,ndo vita ikaanza.
_____________________________

On the evening of October 9, 1978, one Ugandan soldier stationed at Mutukula military camp near the border sneaked into Tanzania for a drink.

At the bar, a quarrel started and he was roughed up by Tanzanian civilians. He later returned to Uganda disappointed.

Ready for revenge, the soldier picked his gun from his station near Sango Bay the following morning and went back to Tanzania alone, with intent to kill.

Luckily, people saw him and ran for their lives. But still filled with anger, the soldier shot in the Tanzanian territory; but no one was hurt.

He then returned to his base and reported the matter to his commander, Lt Byansi who in turn communicated to his superior, battalion commander in Kampala Lt Col Juma Oka of the Malire Mechanised Specialised Reconnaissance Regime at Lubiri.

Instead of informing his superiors, Lt Col Oka, aka Butabika (mental case), ordered Lt Byansi to immediately attack the Tanzanian territory as reinforcement came from Kampala. This is according to former Uganda Army officer UO 824, Lt Muzamir Amule, who was a friend of Lt Byansi.
Interesting
 
Yote yanawezekana. Kulikuwa na mambo makubwa ya ovyo yaliyotangulia kabla ya siku ya uvamizi hivyo chochote kingeweza kuwa kichocheo cha kuibuka kwa vita. Yale mapinduzi ya Tunisia mwaka 2011 yalichochewa na kujichoma moto kwa mmachinga mmoja baada ya kunyanyaswa na maafisa wa jiji lakini ni wazi kwamba watu walishachoshwa na mengi yenye uonevu yaliyokuwa yakifanywa na serikali hapo kabla.
 
Watu hapa wanaona kama story za kipuuzi lakini uwezekano wa kuwa hii story ya kweli pia inawezekana.

Halafu anayehadithia hapo ni askari mganda aliyeshiriki vita

Penda kusoma Vitabu+ Magazeti.
Sehemu ya Bar imesimuliwa lakini sivyo ulivyo isimulia.
Ushauri:
Tafuta Kitabu au Makala ya Kachero Frown Kagauka- Mateka Mpakani
Waweza hata ku-Google
 
Poa mkuu ngoja niitafute
Penda kusoma Vitabu+ Magazeti.
Sehemu ya Bar imesimuliwa lakini sivyo ulivyo isimulia.
Ushauri:
Tafuta Kitabu au Makala ya Kachero Frown Kagauka- Mateka Mpakani
Waweza hata ku-Google
 
Hatujui wala hatuna majibu halisi leo , ila walituvamia tukawanyoosha kwa viboko vya matakoni.
 
Back
Top Bottom