Jukwaa la Historia

On JF:

Nyelwa Kisenge alikuwa DC huko Mbulu miaka ya 1980s, alikuwa DC mkali na mchapakazi sana. Alikuwa pia mfuatiliaji sana na aliibadilisha sana Mbulu. Miaka hiyo kulitokea ugonjwa wa Tauni na...
11 Reactions
56 Replies
19K Views
William Henry Harrison alihudumu kwa muda wa siku 31 pekee, mwaka 1841. Mfahamu kidogo William Henry Harrison (9 Februari 1773 – 4 Aprili 1841) alikuwa Rais wa tisa wa Marekani kwa mwezi mmoja...
10 Reactions
51 Replies
8K Views
UANDISHI WA HISTORIA YA UZALENDO TANZANIA Somo la historia ya Tanzania litaanza kufundishwa katika shule za msingi kuanzia Machi, 2021 baada ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kukamilisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanamfalme Philip, Mtawala wa Edinburgh, aliheshimiwa na wengi kwa sababu ya kujitolea kwake kikamilifu kumuunga mkono Malkia wa Uingereza katika shughuli zake nyingi. Huo ulikuwa wajibu mgumu...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
JOHN INNISS MSWAHILI WA NEW YORK Nimemfahamu John Inniss miaka ya 1980 mwishoni kwa kutambulishwa na Bi. Riziki Shahari miaka hiyo yeye mwanafunzi Columbia University, New York ambako ndiko...
6 Reactions
29 Replies
5K Views
Nawauliza wazee wangu mliokuwa na ufahamu wakati nchi inaingia kwenye vita vya Kagera. Je, kulikuwepo na ulazima wa kuingiza nchi kwenye vita ya Uganda ambayo tangu wakati huo mpaka sasa madhara...
10 Reactions
81 Replies
10K Views
Chagos ni visiwa visivyojulikana sana ambavyo vipo katikati ya Bahari ya Hindi. Kwa miaka 150, vilikuwa sehemu ya nchi ya Mauritius iliyotawaliwa na Uingereza. Hata hivyo, miaka kadhaa kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Likiwa na maana ya chumvi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Malcolm X alizaliwa kama Malcolm Little Mei 19, 1925 huko Omaha, Nebraska. Baba yake, Earl Little alikuwa mchungaji asiyeogopa kusema ukweli, na pia alikuwa msaada mkubwa sana wa kiongozi wa...
5 Reactions
6 Replies
9K Views
KARUME DAY NA TBC Leo nimetembelewa na TBC ili tufanye kipindi kuhusu Mzee Abeid Amani Karume. Mtangazaji Bakari Msuya kaniuliza maswali mengi. Nimemweleza Mzee Karume nikianza na uhusiano wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ni miaka 56 tangu Mwanaharakati Mr.El Hajj Shabazz maarufu kama Malcolm Little daima tutakukumbuka kwa Mengi aliyoyafanya japo tumeyakuta kwenye historia. Endelea kupumzika kwa Amani MALCOLM...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
AZAM TV KARUME DAY: ABEID AMANI KARUME - "THE MASTERMIND" MAHOJIANO NA IRENE KILENGA 2015 Picha hiyo hapo chini ya Mzee Abeid Amani Karume ilipigwa Dar es Salaam mwaka 1948. Kushoto waliokaa ni...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Darius Philip alizaliwa Tanganyika, wazazi wake walivutiwa na utawalawa wa British East Africa Empire na kusikia Tanganyika kuna ardhi kubwa walihamia miaka ya 1940 na kufanya kilimo cha biashara...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
KITENDAWILI CHA PICHA YA WAASISI WA TANU 7 JULAI, 1954: "NOW YOU SEE HIM NOW YOU DONT" Nimepokea ujumbe huo hapo chini: Asalam Aleikum Warahmatullah Wabarkatuh, Poleni kwa msiba, wanasema hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwaka 2021, Tanzania inaomboleza kifo cha kiongozi wake wa nchi aliyefariki akiwa madarakani, John Pombe Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo. Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
HADITHI YA PASAKA KISA CHA YAHUDI JUDAH BEN HUR NA MRUMI MESSALA KATIKA MOVIE ‘’BEN HUR’’ THE STORY OF CHRIST Mwandishi wa kitabu Ben Hur Lew Wallace alikuwa askari wa cheo cha juu katika jeshi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Taj Mahal (Kiajemi تاج محل‎ - tāj-maḥal, taji la mahali) ni jengo zuri la kaburi lenye umbo la msikiti mjini Agra (Uhindi). Mara nyingi huhesabiwa kati ya majengo mazuri duniani. Taj Mahal. Taj...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
KENYA ABDALLAH HASSAN KATIBU MKUU WA KWANZA MUISLAM WIZARA YA ELIMU AMEFARIKI Kenya Abdallah Hassan nimemfahamu toka utoto wangu Moshi katika miaka ya 1960. Siku hizo mimi nikiwa shule ya msingi...
8 Reactions
120 Replies
12K Views
Habari zenu wadau, katika pitapita zangu nimekutana na mwandishi mmoja anayedai kuwa mtu anayefahamika kwa jina la Nelson Mandela, si huyu tunaye mfahamu sisi, Nelson original alifia jela mwaka...
22 Reactions
179 Replies
42K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…