Jukwaa la Historia

On JF:

Picha hiyo hapo chini inatoka kwenye Maktaba ya marehemu Ally Sykes. Mimi picha hii nilikuwanayo lakini ilikuwa nakala iliyochoka kupita kiasi na ni hiyo iliyo hapo chini. Kulia ni Haruna Iddi...
1 Reactions
0 Replies
679 Views
Leo nimepokea picha kutoka Maktaba ya Picha ya Ally Sykes. Nimeona niiweke picha hiyo hapa pamoja na ukurasa mmoja kutoka mswada ambao mimi na marehemu mzee wangu tuliukamilisha wakati akiwa hai...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Waswahili tuna msemo, ''Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atatambua.'' Mimi nimelitambua fumbo na wapi limeelekezwa. Tatizo ni historia ya uhuru wa Tanganyika. Msemaji kaandika anasema: UONGO...
2 Reactions
0 Replies
934 Views
GEREZANI DAY 2022: GEREZANI IMEBADILI MAJINA YA MITAA KUWAENZI WAZEE WAO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Leo WanaGerezani wameadhimisha siku yao ya familia kwa kuwarehemu masheikh, wazee wao na...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
''Yupo lakini huisikii sauti yake. Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake. Lakini yupo ila wewe humuoni. Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza. Huisikii sauti yake. Utamfahamu na kumtambua...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Huyu alikuwa kijana mdogo aliye zaliwa mnamo mwaka c. 1887 huko Congo (DRC ya leo)sehemu inaitwa Bondela wakati huo palijulikana Kama Congo Free state na kufariki 15 August 1909 huko...
11 Reactions
14 Replies
5K Views
Naomba kuelimishwa ili nipate kuelewa vizuri historia. Najua wakoloni walimpokonya uchifu mangi Kileo lakini juzikati mangi Kileo ( mtoto ) ametawazwa na kurejeshwa madarakani. Ndio nauliza...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
YALIYOPITIKA KIPATA NYUMBA NO. 69 WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Ndugu zangu WanaGerezani Siku ya Gerezani Day nilikuelezeni kwa muhtasari kuhusu makaratasi yaliyokuwa yakichapwa pale...
1 Reactions
0 Replies
712 Views
ᏙᏆͲᎪ ᏙᎽᎪ ͲᎪΝᏀᎪ - ᏙᏆͲᎪ ᏙᎽᎪ ΝᎽႮᏦᏆ 3–5 ⁿᵒᵛᵉᵐᵇᵉʳ 1914 BATTLE OF TANGA Au Mapigano ya Tanga, ambayo wakati mwingine pia hujulikana kama Mapiganoya Nyuki yalikuwa ni shambulio lisilofanikiwa la Jeshi...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
MAZUNGUMZO MAFUPI NA WANAGEREZANI - GEREZANI DAY Leo nimezungumza katika Gerezani Day. Hadhira yangu ndani kuna wajukuu wa wapigania uhuru. Nilizungumza kisa ambacho kiliwachukua sana...
1 Reactions
0 Replies
851 Views
TAPA: Ilianzishwa 1955,ingawa vuguvugu la kuanzishwa kwa TAPA kulitokana na TANU. Vilianzishwa vikundi vya muungano wa wazazi toka kanda ili kusimamia elimu katika shule za wazazi. 1. Mkoa wa Dar...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Mfano wa nyumba hizi zilizojengwa na Wajerumani ziko Amani, Tanga. Hiki kijumba kidogo ni jiko, kwa wakati ule wengi walipikia kuni. Hili jiko lilikua na sehemu ya kuhifadhi meter moja ya kuni...
0 Reactions
4 Replies
980 Views
Rafael Caro Quintero 2 Enrique Camarena Salazar"Kiki" alikuwa askari kwenye kitengo cha kuzuia mihadarati "Drug Enforcement Agent" kwenye upelelezi wake akafanikiwa kufahamu mahala shamba hilo...
6 Reactions
8 Replies
5K Views
GEREZANI DAY 2022: GEREZANI IMEBADILI MAJINA YA MITAA KUWAENZI WAZEE WAO WALIOPIGANIA UHURU TANGANYIKA Leo WanaGerezani wameadhimisha siku yao ya familia kwa kuwarehemu masheikh, wazee wao na...
1 Reactions
0 Replies
540 Views
"Nlikuta bunduki na bastola yake haina risasi hata moja na alikua hajajiandaa kwa mapambano yoyote licha ya kusikia kishindo cha helikopta nje" Kauli hiyo anasema Mwanajeshi wa Seal 6 team Mark...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
BURIANI SHEIKH ABDALLAH MUHSIN BARWANI Leo jioni nimepokea taarifa ya kifo cha Shekh Abdallah Muhsin Barwani aliyekuwa akiishi Dubai. Sheikh Abdallah Muhsin ni mdogo wake Sheikh Ali Muhsin...
1 Reactions
1 Replies
968 Views
MARA YA MWISHO MZEE WAIKELA ALIPONITEMBELEA 2018 ''Kauliza mwenye kuuliza, ''Inaelekea unampenda sana Mzee Waikela.'' ''Hakika nampenda. Vipi nisimpende Bilal Rehani Waikela ilhali alipendwa na...
2 Reactions
2 Replies
725 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…