Jukwaa la Historia

On JF:

MABANGO YA KITABU CHA SHEIKH PONDA KWENYE KUTA ZA NYUMBA MITAANI DAR ES SALAAM Nakumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Sheikh Ponda ilikuwa mwaka wa 1988 kwenye semina ya vijana Kiislam...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi. Kilichonifanya...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
KITABU "JUHUDI NA CHANGAMOTO" SHEIKH PONDA NA SUALA LA ELIMU Siku moja Sheikh Ponda kanipigia simu akaniambia kuwa wamefungua shule na ananialika hapo shuleni nizungumze na wanafunzi. Mimi...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama unafuatilia historia za Ulaya basi Ni lazima unamsikia skia mwamba wa Kuitwa Christopher Columbus nadhani ubongo wake ulifanya kazi katika kipindi muhimu ulaya cha Age Of Descovery...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Karl Marx alikuwa mwanafalsafa wa Ujerumani, mwanauchumi, mwanahistoria na mwanahabari ambaye anajulikana sana kwa kazi yake kama mwananadharia mkali wa kisiasa na mwanamapinduzi wa kisoshalisti...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
BURIANI RAFIKI NA NDUGU YANGU SALUM ''SLIM'' SHAMTE 1951 - 2020 Nimeingia maktaba yangu ya picha ndani ya photo album natafuta picha moja ya Slim niliyompiga kiasi cha miaka 20 iliyopita mwezi...
7 Reactions
55 Replies
8K Views
National Alliance For Mass Advancement(NEMA) Nimeingia Maktaba na nimekuta picha ambazo nilipiga mimi mweyewe kwa mkono na jicho langu ukumbi wa Arnautoglu miaka 28 iliyopita. Ilikuwa siku ambayo...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Nikiwa katika mahafali ya wanafunzi waliohitimu masomo yao katika chuo Cha Kingdom Builders Bible Academy (KBBA) kilichopo Isole mkoani Geita tarehe 18/08/2022 ndipo nilipofahamu kwa ufupi...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
December 25 2021 NASA kwa kushirikiana na shirika la anga la Canada na Ulaya wamerushe Telescope yenye thamani ya $10 Million yenye Tekinolojia ya hali ya juu sana kwenda kumulika anga za mbali...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Na. Norbert Mporoto. Tanzania. Mei 15, 2021 Uhuru wa taifa la kenya ulibisha hodi kwa furaha, lakini utawala wenye mizizi na mabaki lukuki ya chembechembe za kikoloni uliitia doa historia ya...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
TATIZO LA MAJINA YA KIISLAM KATIKA HISTORIA YA VITA VYA MAJI MAJI Ukisoma historia ya Vita Vya Maji Maji utakutana na jina Mkomanile. Linaandikwa jina moja tu, ''Mkomanile.'' Kwa nini liandikwe...
9 Reactions
84 Replies
7K Views
HAIKUWA RAHISI SAID KASTICO KUPEWA MTAA...KAMA KAWAIDA Mtendaji wa Mwenge hakuwa kafurahia sana Mzee Said Kastico kuadhimishwa. Ugomvi ukatokea hadi ukafika kwa Msaidizi wa Mkuu wa Wilaya. Ukoo...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Tunakumbushana tu kwa sababu haya mambo mengine ya hizi Kodi na Tozo siyo mapya ila tu wengi wenu humu Jf hamkuwepo duniani. cc: Pascal Mayalla, mrangi
2 Reactions
8 Replies
984 Views
Pwani ya Dar es Salaam ambako watu walimpokea muarabu wengi wao majina ya ukoo hawataki kuyatumia na wengi hawayajui, Mfano kuna watu waliitwa Juma Tambaza na Tambaza ni jina la ukoo. lakini...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Nimeanzisha majadiliano haya ili kutoa fursa kwa wataalamu wa historia na wafuatiliaji wa historia mbalimbali kutushushia nondo za maarifa kuhusiana na historia ya China katika...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mangungo, Sultan wa Msovero katika Mwenyisagara, na Dk. Karl Peters. Mangungo sambamba na watu wake wote na Dk. Peters kwa niaba yake na washirika wake wengine wajao kwa pamoja wanaweka mkataba wa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
MWALIMU KIHERE APEWA MTAA SAHARE TANGA Tanga imemtunuku Mwalimu Kihere Mtaa kwa kutambua mchango wake katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Siku moja katika miaka ya mwanzo sana baada ya uhuru...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
TAAZIA: MJA WA KHERI SHEIKH SALIM BIN AHMED BAJABER Nimepata taarifa hii leo mchana kuwa Mzee Salim Ahmed Taib Bajaber Mkurugenzi Mkuu wa Pembe Flour Mills (PFM) amefariki Mombasa na kazikwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
TAAZIA: AUGUSTINO MREMA (1944 - 2022) Mohamed Mlamali Adam alimwandikia taazia Thabit Kombo alipofariki. Kalamu ya Mlamali akiandika kwa lugha yeyote iwe Kiswahili au Kiingereza inastarehesha...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
What are the relevances of African political thougths to our contemporary African politics?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom