Jukwaa la Historia

On JF:

Ndugu zangu, Dudu kaandika hayo hapo chini na mimi nimeona nifungue uzi mpya niweke maelezo katika hayo maneno yake ili kusahihisha makosa ya historia ya TANU ambayo yamekuwa yakijirudia sasa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
KIFO CHA BALOZI PAUL RUPIA: DAR ES SALAAM TUMEFIWA Sidhani kama kuna mtu ana ujasiri wa kunyanyua kalamu yake pale Abdallah Tambaza atakapoandika historia yoyote inayuhusu Dar es Salaam iwe...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Kitu kimoja nilicho na hakika nacho kwa asilimia 100% ni kwamba wale wote wenye mapenzi ya kweli kwa taifa letu la Tanzania wanasita sana kuchangia hii hoja inayofinyangwafinyangwa na huyu...
71 Reactions
3K Replies
280K Views
SIKUMFAHAMU MAREHEMU MWALIMU ZUBERI WAZIRI NYUNDO LAKINI ATAISHI NDANI YA MOYO WANGU Kwa kawaida taazia haijibiwi. Ukishamaliza kusoma unamtakia maghufira marehemu. Nimesoma taazia aliyoandika...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
KITABU KIMESHEHENI Mtunzi Mohamedi Bushiri @Dedesi Baba Wawili Nimepiga mahesabu, Kalamu kushikilia. Niunganishe irabu, Shairi kujitungia. Dedesi ni aghalabu, Maneno anapatia. Kitabu kimesheheni...
4 Reactions
6 Replies
676 Views
KWA NINI WANABABAIKA NA HISTORIA YA AFRICAN ASSOCIATION ILHALI ILISHAANDIKWA? Jana na ndiyo post yangu ya jana ipo hapo chini nilionyesha makosa ya yaliyopo katika historia ya African Association...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
AFRICAN ASSOCIATION ILIASISIWA MWAKA GANI NA NANI WAASISI WAKE? Kuna kijana kaniandikia anaomba maoni yangu kuhusu aliyosoma katika kitabu hicho hapo chini "Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu dogo kaniuliza swali tata sana Kwamba baada ya kujinyonga ndipo mjerumani akatenganisha kichwa na mwili kisha kichwa wakakipeleka Ujerumani Ngoja nitafakari kabla ya Kujibu!
1 Reactions
1 Replies
855 Views
UNAMJUA ''BAMANGA'' AHMED SAID KHARUSI KATIKA HISTORIA YA UHURU WA ZANZIBAR? Leo nimeletewa picha ya Ahmed Said Kharusi maarufu, ''Bamanga.'' Maktaba yangu ya picha imepambwa sasa na picha mbili...
2 Reactions
0 Replies
861 Views
VITA YA AZANIA NA TAMBAZA (1993 - 1994) Mwaka 1993 Jeshi la Sekondari ya Tambaza liliivamia Sekondari ya Azania kutokea Bonde la Jangwani nyuma ya Hospitali ya Muhimbili baada ya juhudi za kutama...
15 Reactions
37 Replies
8K Views
Wazee wakongwe haabari zenu, Naombeni mnisimulie stori za yaliyojiri miaka ya 1988, na wakati wa Elnino ya mwaka 1998 pamoja na na anguko la uchumi 2008 na ukata wa hela wa mwaka 2018. Mimi njaa...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
BUNGE: THE THEATRE OF VERY RARE TALENTS Uwanja wa Manchester United jina lake halisi ni Old Trafford lakini wenyewe mashabiki wa timu hiyo wanauita uwanja wao, "Theatre of Dreams," yaani Jumba la...
1 Reactions
1 Replies
559 Views
NURU BINT SUDI KUTOKA ''MAUTP WANA MAJAMBO TANU WANAICHUKIA'' (1957) HADI ''MAZAO BORA SHAMBANI'' (1967) Nuru bint Sudi katika wakati wake alikuwa mwimbaji nguli wa taarab kwanza na Al Watan...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu ni kijana na mwanamapinduzi wa kiafrika na mmoja wapo wa wana pan-africanism jina lake anaitwa Malcolm Little lakini aliamua kubadili jina na kujiita Malcolm X ambapo X inamaana ya kitu...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
SHEIKH AHMED ZUBEIR MWANAFUNZI WA SHEIKH ABDALLAH FARSY NA MWALIMU NA MLEZI WA VIJANA WENGI DODOMA Namkumbuka Sheikh Ahmed Zubeir katika miaka ya mwanzoni 1980s ndiyo karejea Tanzania akitokea...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Kabla ya Tanzania kulikuwa na Tanganyika, na kabla ya Tanganyika ilibaki kidogo kuwe na Windsorland, yaani nchi ya Windsor. Ni hivi Kabla ya yote hayo hakukuwa na nchi moja kama ilibyo sasa...
8 Reactions
5 Replies
1K Views
Kati ya watu ambao wana nafasi kwenye dunia mpya ni Tyndale na Luther. Nikisoma historia za hawa watu nasisimuka sana, biblia imetoka mbali sana. Kama sio ujasiri wa hawa basi mpaka leo tungekuwa...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
The Church of England, or Anglican Church, is the primary state church in England, where the concepts of church and state are linked. The Church of England is considered the original church of the...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
MWAKA 1999 SAFARI KUTOKA KILWA DSM KIGOMA ZAMBIA HADI SOUTH AFRICA Kilwa mpaka DSM kwa usafiri wa basi halafu Reli ya Kati urefu kilometa 1200 Dsm Kigoma, lake Tanganyika , MV Mwongozo...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…