Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Poleni kwa majukumu wakuu, naombeni mnisaidie katika hili, nimehitimu f6 mwaka jana ila sijachukua cheti, kwenye application ya mkopo nimeattach result slip, kutakuwa na tatizo juu ya hilo? Sent...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jaman msaada hiv kama mtu kamaliza kutuma fom tayar kwa ems Je kuna uwezekano wa kwenda kuatach result slip ya f6 coz niliwah kutuma kabla ya result slip kutoka Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Natumaini mmeamka salama, kulingana kichwa cha habari hapo juu Naomba kwa yeyote anayejua shule nzuru ada yake iwe milioni moja kuja chini anijulishe, pia kama ana mawasiliano ya shule anipe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JIAS invites applications for its writing semester from 1 February to 31 May 2018. Fellowships are open to people with any expertise – previous Fellows have included academics, novelists...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvii, Naimani kubwa sana wengi wetu tupo vyema kiafya na mapambano ya kilasiku yanasogea mbele bilashaka, Dhumuni kubwa la kuanzisha Uzi huu ni kuapriate uwepo wa forum hii kwani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jf naombeni msaada wenu kuhusu joining instruction za lugoba high school.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Heshima zenu wakuu naomba mwenye kujua chuo cha mwlm nyerere kigambon kwa upande wa coz zingene mbali na ualimu naomba kujua kwamba wakoje kuhusu ufundishaji waoh e.g accounts,procurement, record...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Habar wanajf, Nina Mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana huko mkoani na akapata division 3 ya 25 Dogo akapangiwa ualimu lakini yeye ndoto yake ni kusoma mambo ya afya so ualimu akagoma...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wadau jirani yangu anauliza kama kuna mtu ana mwanafunzi anayesafiri kimasomo kwenda china tarehe 09/09/2017 kwa kutumia ndege ya ETIHAD ili waweze kupeana company.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ANA MATOKEO YAFUATAYO PHY D CHEM C BIOS. B ENGL. D MATHE. E JE ANAWEZA AKACHAGULIWA CO?? MSAAADA TAFADHARI!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Samahani wakuu poleni na majukumu ya kila siku ... Naomba msaada kwa wenye uelewa na hili, HESLB hutoa mikopo kwa wanafunzi wa private na government sasa kuna uvumi kua kiwango cha utoaji mikopo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa waliosoma Sua naulizia kuhusu kozi ya Agribusiness Mara nyingi wanachukua division ngapi na maisha kwa ujumla ya SUA?
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Rai yangu kwa bodi ya mikopo na serikali hakikisheni wanafunzi wa elimu ya juu wanapata mikopo pasipo kubaguliwa kwa namna yeyote ile. Tusitumie vigezo vya kusema hawa ni private na hawa wamesoma...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu watanzania na wahasibu wenzangu , napenda kuchukua nafasi hii adimu kwa kueleza kilio changu kuhusu hii bodi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu Tanzania (NBAA). kWA KWELI BODI HII IMEUNDWA...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Hello members poleni na majukumu, Leo nilitaka niweke wazi sintofahamu ya utofauti kati ya mtu mwenye degree ya account + cpa na yule mwenye degree isiyo ya account lakini ana cpa. Utofauti...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
*Anaandika Comred KAMWELA. A. D* *Walimu kipo cha Kujifunza Kupitia Mwalimu wa Hai* Ni alfajiri Mwanana ambayo katujaalia Yarabi..... Nikiwa na desturi ya kuamka mapema na kupitia kurasa...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wadau... Bila kupoteza muda. Nimekuja hapa nikiwa nahitaji ushauri na mawazo toka kwenu maana humu Kuna wazoefu wa maswala mbali mbali. Nina mdogo wangu wa kiume alimaliza kidato cha...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Tutaftane niwape maujanja ya kuish pale camp
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari wana JF Ningependa kufafanuliwa kwa kina Vp wanafunzi wa Hasahasa Primary wanakuwa na utoro mashuleni Hii ni kwa watoto wa kitanzania tu sio sehemu nyengine Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…