Nijuzeni kuhusu kozi ya agribusiness SUA

Nijuzeni kuhusu kozi ya agribusiness SUA

Joined
Aug 27, 2017
Posts
34
Reaction score
52
Kwa waliosoma Sua naulizia kuhusu kozi ya Agribusiness Mara nyingi wanachukua division ngapi na maisha kwa ujumla ya SUA?
 
Me niko SUA nachukua iyo course, naingia mwaka wa tatu sasa. Maisha ya SUA ni ya kawaida tu, kuhusu vigezo inategemea na ufaulu wa mwaka husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me niko SUA nachukua iyo course, naingia mwaka wa tatu sasa. Maisha ya SUA ni ya kawaida tu, kuhusu vigezo inategemea na ufaulu wa mwaka husika

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli unategemea na mwaka husika coz kaka angu kasoma hiyo course pale af alupata three ya kumi na tatu nwaka 2006,naisha ya mtaan nadhan ni kawaida japo my bro hajawai pata kazi serikalin lkn kuna mashirika kafanya nayo kazi Sana Kama techno save, pia hata rafik zak weng wapo private ila eamesoma hiyo course ila kwa ujumla naona ni course nzuri ila usiogop kwenda mashamban Ken mirad kazi mana naona bro anashinda huko Sana wenyeew wanaita mashamba darasa pia serikal ikiwa serious Ken kilimo basi nyie hamtakosa kazi kabisa, hata mshahar anaotajag Bro ni mzuri kidogo Ken hizo private NGOs ko Kama inawezekan kasome aiseee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachukua kuanzia pointi 4, yaani D mbili, wasikutishe
 
Back
Top Bottom