Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habarini wanajamvini.Nilikuwa naomba msaada wa kujua chuo kizuri kinachotoa Bachelor of Computer Science
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuu aise nilikuwa naambiwa mambo ya kuapply chuo yanastress da u kweli nimejionea wenzangu wameshatumiwa code number Mimi hadi muda huu bado .sema nilikuwa naomba kujua hawa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
wa
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Server zimezidiwa atuwezi Fanya confirmation
0 Reactions
4 Replies
947 Views
wakuu nauliza kama kuna MTU mwenye two kachagiliwa BAED udom mana daah mimi nimeomba hyo koz udom nimetemwa
0 Reactions
3 Replies
515 Views
Wakuu samahani asubuhi nime-confirm MUHAS, sasa hivi nafungua akaunti yangu ya UDOM na wenyewe wananiambia nime-confirm kwao. Msaada nifanyeje na nikiwapigia simu UDOM wanakuwa wakali kua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mdogo wangu amechaguliwa chuo cha udsm chaguo LA tatu Je ninaweza kuomba kwa Mara ya pili chuo kingine ingawa amechaguliwa udsm?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Naomba Msaada wa mawasiliano ya udsm, mdogo wangu Anafanya confirmation lakini password Inagoma, nahisi pengine amesahau. Msaada Tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
733 Views
Tangu Jana nafungua iyo link niweze Ku confirm lakini aifunguki
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji kucofirm ifm lakini tatizo ina fail nafikiri kwa sababu natumia simu ombi langu kwenu mwenye pc au Computer anisaidie Ku cofirm namba yangu ya watsap 0745304764
0 Reactions
1 Replies
947 Views
wakuu hiki chuo cha DIT mwenye link jamani tuwaangalia ndugu zetu
0 Reactions
0 Replies
611 Views
I'M ASKING THE POSSIBILITY OF AN APPLICANT POSSESSING CERT. IN CLINICAL MEDICINE WITH PRINCIPAL PASS OF GRADE DDD IN A-LEVEL PCB IF SHE/HE IS QUALIFYING FOR BACHELOR DEGREE OF MEDICINE.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Leo nimefahamishwa kwamba wale F6 waliokwenda JKT bado hawafujanga mafunzo. Yaani wako kambini. Najiuliza je haya mambo ya confirmation kwa wenye multiple selections na kuomba tena kwa wale...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomben muongozo juuu ya hilo wadao pia na vigozo vipi vinazingatia Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!! Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi kupitia idara yake ya uhamasishaji na chipukizi imewatakia na kuwaombea darasa la saba nchi nzima wanaotajia kuanza mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomben muongozo juuu ya hilo wadao pia na vigozo vipi vinazingatia
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomben muongozo juuu ya hilo wadao pia na vigozo vipi vinazingatia Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomben muongozo juuu ya hilo wadao pia na vigozo vipi vinazingatia Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
733 Views
wakuu nauliza kama kuna MTU mwenye two kachagiliwa BAED udom mana daah mimi nimeomba hyo koz udom nimetemwa
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…