Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
wakuu nauliza kama kuna MTU mwenye two kachagiliwa BAED udom mana daah mimi nimeomba hyo koz udom nimetemwa
we ulipata ngap mkuu?mana mm nimpata 11 afu kuna wadau wrngine wana 13 wamepewa sielew apoEven me
Unasoma ualimu wa arts? Unaishi tanzania au wapi?wakuu nauliza kama kuna MTU mwenye two kachagiliwa BAED udom mana daah mimi nimeomba hyo koz udom nimetemwa