Hadi muda TCU hawajanitumia code huu si ubaguzi

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,092
Reaction score
2,923
Habari za jioni wakuu aise nilikuwa naambiwa mambo ya kuapply chuo yanastress da u kweli nimejionea wenzangu wameshatumiwa code number Mimi hadi muda huu bado .sema nilikuwa naomba kujua hawa jamaa TCU ofisi zao ziko maeneo gani .?
 
Zipo mlimani cty -dar es salaam
 
nilikua huko mida fulani hivi ofisi zao zimehama kutoka pale mlimani tower opposite na mlimani city zumehamishiwa wizara ya elimu posta ghorofa ya chini kabisa kuhusu swala la code wanadai eti kila mwanafunzi katumiwa tayari
 
jamani mwenye namba za udom wakuu anipe
 
nilikua huko mida fulani hivi ofisi zao zimehama kutoka pale mlimani tower opposite na mlimani city zumehamishiwa wizara ya elimu posta ghorofa ya chini kabisa kuhusu swala la code wanadai eti kila mwanafunzi katumiwa tayari
Kwa hio zipo posta mkuu kesho niende
 
Habari za jioni wakuu aise nilikuwa naambiwa mambo ya kuapply chuo yanastress da u kweli nimejionea wenzangu wameshatumiwa code number Mimi hadi muda huu bado .sema nilikuwa naomba kujua hawa jamaa TCU ofisi zao ziko maeneo gani .?
Mimi pia mpaka sasa cjatumiwa mkuu
 
Si uende kwenye dashboard ya ac yako ipo..
Acha uzembe kijana.
kijana hebu naomba tuheshimiane natumaini hunipati kiumri hata kidogo si kila aliyekuwepo humu ni mwanafunzi mwenzio hebu heshima ifuate mkondo wake
 
Kwamba unanisomesha wewe sio!
Acha uzembe nenda kwenye ac yako, kama mambo ya umri weka cheti cha kuzaliwa hapa.
Mambo mengine ni ya kutumia akili tu.
 
Habari za jioni wakuu aise nilikuwa naambiwa mambo ya kuapply chuo yanastress da u kweli nimejionea wenzangu wameshatumiwa code number Mimi hadi muda huu bado .sema nilikuwa naomba kujua hawa jamaa TCU ofisi zao ziko maeneo gani .?
Zipo mlimani cty -dar es salaam
Zipo mlimani cty -dar es salaam
ofisi zipo jirani na ikulu zilipo ofisi ya wizara ya elimu hapo hapo mlimani city walishahama Sikh mingi sana
 
Kwamba unanisomesha wewe sio!
Acha uzembe nenda kwenye ac yako, kama mambo ya umri weka cheti cha kuzaliwa hapa.
Mambo mengine ni ya kutumia akili tu.
utoto unakuzuzua bado ningemjua mama yako ningelala nae tu ili unipe heshima ambazo nastahili kupewa na wewe maana hakuna namna...
 
Unabahati mama yako hakuingia anga zangu nningempa mimba uzaliwe wewe.. Mbona rahisi tu
 
Mimi kijana wangu kachaguliwa, TIA na MOCU( Ushirika) lakini mpaka sasa, hajapokea code! Kwa anae fanana nae selection anijuze update.
 
Kwa kweli changamoto ni nyingi sana. kuna wengine wako jkt na simu haziruhusiwi sijui wataconferm vipi..tcu wasogeze mbele siku.
 
Back
Top Bottom