Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Source: Uhaba vyumba madarasa unahitaji mkakati maalum
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamvi Naomba msaada wa kuelezwa, ni benki gani hutumika haswa na Walimu kwa ajili ya kupokelea mshahara pindi anapoajiriwa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heading inajieleza naomba msaada anayejua hiyo shule popote Tanzania.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza hongereni wote mliochaguliwa ila wale wa TEKU nawahitaji hapa. Nawasilisha
0 Reactions
86 Replies
12K Views
Karibuni kwa sherehe au kujipanga kumalizia palipobakia, NBAA hawapoi hawaboi Examination Results |BODI YA TAIFA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU TANZANIA (NBAA) Nenda website yao kwa upya...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne,nilikuwa naomba kaka na dada zangu walionitangulia kupita kidato cha tano kunisaidia kunujulisha topic za phys form v
0 Reactions
16 Replies
16K Views
Kama ulifanya application kwa certificate na diplomaa kachekii mambo tayariii .... Www.nacte.co.tz
0 Reactions
54 Replies
12K Views
Habari za Saa hii wakuu mimi ni mtanzania halisi kabisa. Siku ya Jana kuamkia Leo mnamo saa nane usiku nimewaza sana kuhusu maisha yangu na muelekeo wangu wakati huo nikiendelea kufikiri maisha...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
SIMULIZI;UCHAWI WA MAMA. MTUNZI;RAJA SAIDY. WHATSAPP;0756920739. SEHEMU YA KWANZA "Dada amka tusali amka dada" "Nina usingizi mdogo wangu" "Lakini dada sio vizuri kulala bila kusali" "Mdogo...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Kichwa cha thread kinajitosheleza. Nawasilisha, Karibuni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Usitafsiri neno hilo kutoka kiswahili kwenda Kiingereza au kilatino, au usiingie google translate itakupa neno la kupotosha, watu huwa wanarudishwa rumande pindi wanakosa dhamana mahakamani sasa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Source: Walimu wawili mbaroni tuhuma kupiga mwanafunzi hadi kuzirai Yaani siku miungu watu wa namna hii wanaofanya mambo ya namna hii wakaja wakaingia kwenye target yangu,...........
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu kuna mdogo wangu anatesekq sana yaaan alimaliza 2017 cheti kapata mwaka huu Lakin akifuatilia transcript wizarani eti a naambiwa chuo Chao hakijatuma matokeo seriously???? Chuo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Eti wadau mtu akipata alama ya A hisabu, B kiswahili, C maarifa, D engl, D stad ana grade C je anapangiwa shule secondary?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilishawahi kusema siku za nyuma kitendo cha mheshimiwa joyce ndalichako kuwa waziri kinanitia mashaka mbaya zaidi kwa wakati ule tuliwekewa na naibu wazir mh.stellah manyanya ambaye yeye...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenye jina LA shule yeyote iliyopo ifakara au malinyi ,,aniambia nataka nitume maombi ya kazi
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Baraza la Mitihani NECTA limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba) ambapo matokeo yanaonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 4.96% tofaiti na ufaulu wa 2017...
8 Reactions
142 Replies
927K Views
Habari wakuu, mwenye uelewa na hizo program courses kwa pale UCC, ipi kati ya hizo ina fursa Kubwa ya kujiajil au hata kuajiliwa kwenye organizations . Karibuni.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanajukwaa kuna baadhi ya vyuo huchukua hata mwaka mmoja kutoa vyeti vya wahitimu wake na vingine kutoa within a week or soon after graduation nini hupelekea tofauti hizo,je hawaoni ni changamoto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini za jion Wadau nina swal nahitaji kufaham, Hivi ikitokea mhitim kapata tangazo la kaz anahitaji kufanya application ya kaz na transcript hazijatoka.Je anauwezo wa kutumia provisional...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…