micky 00
Member
- Apr 24, 2017
- 98
- 98
Kama ulifanya application kwa certificate na diplomaa kachekii mambo tayariii .... Www.nacte.co.tz
Ndugu naomba nisaidie kuniangalizia hili jina maana mimi kwangu hyo link haifunguki DAUD NESTORY KAZUWI naomba nisaidieKama ulifanya application kwa certificate na diplomaa kachekii mambo tayariii .... Www.nacte.co.tz
Ndugu naomba nisaidie kuniangalizia hili jina maana mimi kwangu hyo link haifunguki DAUD NESTORY KAZUWI naomba nisaidie
ingia google ,,,nacte watakuletea ..utaona mzeeNdugu naomba nisaidie kuniangalizia hili jina maana mimi kwangu hyo link haifunguki DAUD NESTORY KAZUWI naomba nisaidie
Kozi ya Afya Iringa huko.daaa hongera mzee ..chuo gani kapataa
Mkuu ingia hapa. Kuna taarifa zake zinahitajika.Naomben mnisadie kuniangalizia DAUD NESTORY KAZUWI
hivi mkuu unaona sehemu gani, mbona nimefungua website ya nacte lakini sioni majina?? we umeyapata sehemu ganiKozi ya Afya Iringa huko.
Jaribu hapo.hivi mkuu unaona sehemu gani, mbona nimefungua website ya nacte lakini sioni majina?? we umeyapata sehemu gani
asante sana lakini mdogo wangu hakumbuki username,
Me nmekuta hiki kitu sielew sasaUser name ni Index number yako ya mtihani wa kidato cha nne,ikifuatia mwaka uliomaliza
Sijajua kama dogo kachaguliwa au vipiMe nmekuta hiki kitu sielew sasaView attachment 881153
Na password unaweka nnUser name ni Index number yako ya mtihani wa kidato cha nne,ikifuatia mwaka uliomaliza
Wakati unafanya application hukupokea msg yoyote?Na password unaweka nn
Au ndo mwaka uliomaliza shule