Benki gani hutumika kwa Walimu pindi anapoajiriwa?

godizila

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
849
384
Habari wana jamvi

Naomba msaada wa kuelezwa, ni benki gani hutumika haswa na Walimu kwa ajili ya kupokelea mshahara pindi anapoajiriwa
 
Back
Top Bottom