Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nakumbuka sSerikali, kupitia Wazara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ilisema itatoa viwango vya ada kwa shule binafsi kuanzia mapema mwezi Januari, hivi sasa shule zimefunguliwa, wazazi wamelipa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hatimaye wizara ya elimu imetangaza matokeo ya kidato cha pili huku mkoa wa dar es salaam ukionekana ni mkoa ulioongoza kufelisha wanafunzi source=wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi
0 Reactions
9 Replies
3K Views
nashindwa kuelewa ni kwa nini maprof na viongozi wa udsm wanashindwa kufungua matawi ya chuo hicho na ndio chuo kikuu cha kwanza hapa tz,pia wanashindwa hata kufungua mikoani achilia mbali nchi za...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Wana JF naomba ushauri..Nimehitimu kidato cha nne nikapata Div 4 ya point 28,Nahitaji kujiunga na chuo ni faculty gani iko kwenye soko sana ambayo nikisoma haitanisumbua kupata ajira. KUACHA...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Nasomabsc with education in open university hv hii kozi inalipa maana naisoma kwa tabu c unaelewa working and studying au nitemane nayo niingie chuon kabisa nikasomee business ndg,nichukue bba,thnx
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Yule jamaa aliyekuja na muungano wa pemba na zimbambwe south Africa, leo amenifurahisha sana alipokuwa anatangaza matokeo ya kidato cha pili kwa mambo mawili< 1. Eti mikoa ya kanda ya ziwa ni...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Kak na dad kama unajua chchte kuhusu mikopo ya waliofanyiwa transfer nipe taarfa michakato imefkia wap? Naipenda tz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi viwango vipya vya mishahara hususan kwa walimu vilivyovumishwa kuanza mwezi Dec. 2012 vimeishia wapi?. Upepo ulivuma kwa kasi na wengine kusema wameunyaka walaka,unaoeleza kurudi kwa teaching...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
matokeo ya Form 4 D ya CIVICS na KISWAHIL C Ya ENGLISH NA HISTORY Vp Anaweza Kusomea Pharmacy medical training courses? Ahsanten Wadau
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Niko hapa Chimwaga, Nimejumuika na wanafunzi wa Kiswahili wanaigiza hiki kitabu... Nimejifunza mengi nikilinganisha na siasa za Tanzania!! Umekisoma hiki kitabu?!! Kuna kitu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu wanazuoni naombeni mwenye kufahamu ni lini application zinaanza Sauti make nasikia huwa wanawahi kutoa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sacred heart secondary school>is the school which was restricked found in 2007 by the hounourable fr.AVITUS KIGUTA who was a father at chicago.until this time the school have more 25 classes...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jf. Kwa yeyote anayefahamu topic za form v za Basic Applied Mathematics (BAM) pamoja na subtopics wanazotakiwa kusoma tofauti na pure Mathematics anisaidie kwa kuniorodhoshea. Kwa...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Wadau naomba kuuliza.Hivi kuna chuo kikuu chochote ambacho mpaka sasa wameshawalipa wanafunzi wao ile hela ya "special faculty requirement"?Kama kuna waliolipwa naomba watujuze ili nasi wengine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari ya mwaka mpya
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Kutupa mimba ni kitendo chacha kutolewa kwa mototo wa ng’ombe nje ya mfumo uzazi na mara nyingi akiwa amekufa kunakotokea kati ya siku ya 42 hadi siku takribani ya 260 kabla ya siku zake za kuzaa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Natumai Mko poa wanajamii. Ila nina leta changamoto moja ivi anaeweza kuelezea umeme na anaeweza kufanya kazi za umeme au mashine yoyote na kuzielezea, yupi anastahiki malipo makubwa? Nauliza...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Ndg wana JF, NIMEKUWA NIKIFUATILIA SANA PROSPECTUS ZA VYUO MBALIMBALI NA KUBAINI KUWA WALIOPEWA VYEO KAMA WAKUU WA IDARA WANA ELIMU NDOGO KULIKO WANAOWAONGOZA. MATHALANI UTAKUTA ASSITANT LECTURE...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Chuo cha utumishi Wa Umma Kampasi ya Tabora kimeingia kwenye utata na Wanafunzi wake baada ya Mwalm Aitwae ALEX Ndaikiza kuwaandikia barua Wanafunzi wote Waliokuwa Diploma Mwaka Wa 2 semista ya...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Marafiki, Tafadhali angalieni nafasi hii hapa. Kwa swali lolote, nitakuwa tayari kukupatia msaada wa maelekezo muhimu, na majibu ya maswali yako. Tafadhali ukiwa na swali niandikie kwenye barua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…