Chuo cha utumishi wa umma kulikoni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha utumishi wa umma kulikoni.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by zubedayo_mchuzi, Nov 2, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Chuo cha utumishi Wa Umma Kampasi ya Tabora kimeingia kwenye utata na Wanafunzi wake baada ya Mwalm Aitwae ALEX Ndaikiza kuwaandikia barua Wanafunzi wote Waliokuwa Diploma Mwaka Wa 2 semista ya tatu kuwa Wanatakiwa ku graduate Ili wapewe Technician certfkate ni NTA LEVEL 5,Then Wasome diploma ya Mwaka 1,hapo hapo wakawaidi kuwa Transcrpt itakuwa na semista Zote Nne bt certfkate ya diplm itakokotolewa GPA kwa semista 2 U.
  Wao Nacte inawatambua Kwa NTA LEVEL 4,NTA LEVEL 5,NTA LEVEL 6.
  Je ni kweli NACTE inatoa diploma kwa semista 2,
   
 2. sham852

  sham852 New Member

  #2
  Jan 11, 2013
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kuna nn tena.
   
 3. Mwamgunda

  Mwamgunda JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimejaribu kujitahd nikuelewe ila nimeshndwa!
   
Loading...