Inaonekana mpaka sasa, swala la form2 kuvuka kidato cha 3 kwa wastani ni kiini macho. Serikali inatakiwa kuwa makini, elimu ya Tanzania inashuka kiwango kwa kuwa na watu ambao taaluma yao haina...
Wakuu naomba nisaidiwe jinsi ya kucalculate PAYE kwa mtumishi wa Serikali mwenye mshahara huu
Basic Salary Tsh. 521,800.00
PSPF Pension Contr. (5%of Basic Salary) Sh. 26,090.00
sina posho yoyote...
Kuna habari (nisizoziamini) nimepata kutoka kwa jamaa yangu ya kwamba, Waaziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Shukuru Kawambwa, amepeleka mtaala Bungeni leo, kama ilivyoshinikizwa na Mh...
NI NANI ATABADILISHA MAISHA YA MTANZANIA?
Miaka 50 ya uhuru mpaka sasa wanafunzi hawana madarasa,lini tutabadilika na ninani atabadilisha maisha ya mtanzania je mafisadi wanayaona haya?
Hii radio kila nisikilizapo napata kitu kipya na muhimu sana katika maisha yangu. Radio zote bongo zingekuwa kama radio Imaan hakika tungekuwa mbali sana. Nasikiliza Radio Imaan hapa mkombozi wa...
Wana JF naomba niwashirikishe niliyoyakuta kwenye Chuo kikuu kipya kilichoko Arusha kinachoitwa Nelson Mandela African institute of Sciences and Technology. Chuo hiki kipya kiko katika hatua za...
Katika hali ya kushangaza serikali imekua inaweka usiri mkubwa sana katika swala zima la mambo ya elimu mfano kutolewa kwa post ambazo zimeleta athali kubwa kwa vijana wengi hasa wale walioamini...
Kwa ndugu zangu wachagga natumaini mtakuwa mnaujua mtii huu, Sale (Isale) ambao ni mti wa asili kwa imani za asili za kabila la wachagga.
Nimejaribu sana kuugoogle na hata kuulizia mti huu kwa...
Nashindwa kuelewa serikali ina mpango gani na walimu jamani? mtu anajitahidi kusoma kacertificate kake au kadiploma, au hata kadegree kamoja jamani kwa tabu zake zoote, wengine kwa kuungaunga...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Kwa kawaida au katika hali halisi, kazi ya kulea vifaranga hufanywa na kuku mwenyewe. Hivyo ili kulea vifaranga, mfugaji ni lazima aige kuku anavyofanya. Ikumbukwe kuwa vifaranga husumbuliwa...
Shule ya Queens' Medium School iliyopo Ukonga inatafuta Secretary anayeifahamu vizuri Computer na anayefahamu vizuri kiingereza. Piga Simu kwa Lilian Wasira, Director, No. 0719 604156
Walimu wanalalamika sana juu ya malimbikizo ya mishahara,madai ya fedha za likizo na migomo yao kutokuwa njia mbadala ya kupata haki zao.Mtazamo wangu ni kuwa ili wajikomboe, wote wanaolalamika...
Kwa muda mrefu sasa suala la kuwaelimisha kinadharia na kivitendo vijana wetu hasa mashuleni kuhusu kujua chimbuko lao kama waafrika linazidi kukosa mashiko. Kunaweza kuwa na nadharia nyingi...
Jamii forums ni zaidi ya elimu. Nakuomba uandike maneno hayo chini kwenye simu yako ya mkononi usambaze kwa marafiki zako kumi wajiunge jamii forums
(Mimi nipo jamii forums home of greater...