Wanafunzi wa chuo cha IFM wanaandamana kuelekea kituo cha police Kigamboni kupinga maovu yanayofanywa na majambazi hapo chuoni. Ina aminika kuwa police wanajua waliofanya uhalifu huo na bado...
Habari zenu wanaJF,
Ninatafuta vyuo katika nchi zilizoendelea kama UK,USA,Canada,New Zealand na zinginezo ili niweze kupata nafasi ya kusoma masters katika mambo yahusuyo IT. Nimejaribu kufanya...
Here are some of the "Best Books" I have read in 2012.
Please post your list.
The books need not be published in 2012, only read in 2012.
Non-Fiction
10. Total Recall: My Unbelievably True...
Kwa wale mnaolitambua somo la falsafa (philosophy) kuna dhana moja potofu sana kwamba uyunani ya kale(ancient Greece) ndio wa kwanza kustaarabika na kujenga msingi wa'' wisdom''. hata Gwiji wa...
hivi mkuu wa mkoa wa pwani Bi. Mwantumu Mahiza anawaza nini kichwani kwake?
kufunga shule ya wanafunzi ambao wanatarajia kufanya mitihani ya mwisho mwezi wa pili mwaka huu maana yake nini, tena...
Habari zenu wana JF, mnaweza kunijuza wapi hapa bongo au mbele naweza kusoma diploma au advance diploma ya medical officer nakupata ufadhili wa serekali? Matokeo yangu ya O-Level Biology - B...
Mimi ni mwalimu katika shule moja ya sekondari huku Rufiji.Mwaka huu tunategemea fom 3 wa 1 ktk shule hii,Chakushangaza madarasa yakusomea hayajakamilika mpaka sasa na shule zimefunguliwa.Hii...
WATAHINIWA wapatao 2,602 wamefeli mtihani wa bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu [NBAA]
Tarifa iliyotolewa na bodi na kusainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wake, Pius Maneno ilisema jumla ya...
Katika hali iliyojili leo hapa UDOM KITIVO CHA ELIMU, Kila mtanzania mpenda maadili anapaswa kuupongeza uongozi.
Inasemekana zaidi ya wanafunzi kumi na, wametimuliwa chuo kwa kosa la kuvaa mavazi...
:flock:Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha mwenge(moshi).ninasomea hesabu na takwimu (BS IN MATHEMATICS AND STATISTICS) hivo basi mwezi ujao (mwezi wa pili) tunatakiwa kufanya fieldwork katika mikoa...
Hey guys if any of you got some links which have a pile of exams, notes, practicals just post in here:
I HAVE FOUND A COOL LINK JUST GET IN ONE OF THE FOLLOWING
1. http://202.82.16.155/bss/...
jamani ndugu zangu nina shida kweli na matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2003 na 2006, hususani ya Morogoro Sekondari mwak 2003 na Kigurunyembe Teachers college private candidates mwaka 2006
Ndugu wadau wa elimu,
Tunafahamu kuwa kazi ya kutoa huduma ya elimu nchini Tanzania inafanywa na serikali na sekta binafsi. Serikali inajukumu la kuandaa sera, mitaala na kutoa miongozo kuhusu...
miongoni mwa mambo nisiyoweza kuelewa ni nadharia ya mageuzi. Nadharia hii ya kisayansi naiona kama jambo lililopitwa na wakati. Katika nyakati hizi za maendeleo ya kisayansi tuliyofikia haiingii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.