Nimesikia kupitia Clouds FM jioni hii ya kwamba, mkuu wa Wilaya ya Ilemela amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika shule ya sekondari Mt. Zion, iliyopo Wilayani humo, na kushuhudia wanafunzi zaidi...
Habari zenu wenzangu wote mliosoma Kigurunyembe Sekondari School, Morogoro.
Nina hakika kuna ambao mmeshapata hizi habari za kuwa, baadhi ya wanafunzi waliosoma Kigurunyembe, wako kwenye mchakato...
Naamini kwa mtu makini na mdau wa elimu atakubaliana na mimi kuwa watoto wa kidato cha nne 2000-2012 wanajitahid sana!
Km mtaalamu wa masuala ya elimu hupaswi kulinganisha matokeo ya miaka ya...
Habari zenu wana jamvi kwa ujumla wenu....
napenda kutoa ahsante zangu za majonzi kwa watu na vitu hivi vya dunia hii maana sasa WATANZANIA na kizazi chetu kimepatikana haswa...
1.Ahasante...
Ukiona mwenzako kanyolewa zako tia maji,Wanetu tufanyeje mana kulaumu haijengi na wengi umri mdogo,na inakatisha tamaa kwa wanaondelea,wazazi tufanyeje ili waliopo mashuleni waepuke tatizo,na...
"zima moto"
Serikali inatunga sera za elimu za "zima moto"
inazitekeleza ki "zima moto"
walimu wanafundisha "zima moto"
maana madai yao yanatimizwa ki "zima moto"
hawana ari wanafundisha...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Matokeo ya mwaka huu yamekuwa mabaya sana, Serikali tunasikitika kutokana na hali hii lakini tuna mipango mbalimbali ya kuhakikisha tunaweza kutatua hili tatizo, alisema Dk. Kawambwa.
Mwisho...
40%ya watoto wetu wameoana,taka usitake habari ndo hii,hasa shule za kata madogo wengi wanatumika mapenzi bila ya wazazi kua na habari,na Wengi wana simu,na ni kua wazazi tunawapa na zingine...
hi, members
ndugu zangu wanachi wa Tanzania,naomba tujadili hili swala je,tuilaumu serikali ya jamhuri ya Tanzania,shule zenyewe ,walimu wa hizo shule au wanafunzi wenyewe kwani haijawahi tokea...
Yes,ikilast sana ni wiki moja after this kuna headline mpya.Timing ya kurelease ilikuwa nzuri mana wamjengoni wako busy majimboni!
Hivi inakuaje zile shule tulizozoea kufanya vizuri kila wakati...
Habar wakuu! Naomba msaada wenu wa mawazo kuhusu elimu ya nchin Uganda, Je ninaweza kwenda kusoma Advance Comb ya sayansi mfano CBG? Pia vipi baada ya kumaliza 4m6 itawezekana kuja kusomea vyuo...
Matokeo kidato cha nne kuwa mabaya hayakuanza kwa 2012 tu!!
Kusema kweli tumetoka mbali na safari yetu hii kwa hawa wadogo zetu na watoto wetu, kwa msaada mkubwa na mitaala yetu ya Nyambari...
jaman mdogo wng anakesha akilia kutokana na matokeo mabaya aliyopata.
Civ F,
GEO D
ENG D
BIO D
MATH F
HIST D
KISW F
PHYS F
BIO D
TUNAHTAJ AKASOME CHETI JE NI COURSE GANI ATAPATA KWA...
jamani kuna yeyote anayejua matokeo ya mtihani wa QT 2012 yanatoka lini? maana kuna mtoto ananisumbua sana. napata habari mkanganyiko, mara yameshatoka mara hayajatoka, anybody, somebody, help!