Matokeo ya QT 2012

mama yuva

JF-Expert Member
Aug 3, 2010
226
47
jamani kuna yeyote anayejua matokeo ya mtihani wa QT 2012 yanatoka lini? maana kuna mtoto ananisumbua sana. napata habari mkanganyiko, mara yameshatoka mara hayajatoka, anybody, somebody, help!
 
Hongera mkuu mama yuva kwa kufahuru mtihani wa QT na usiache kutoa sadaka ya shukrani.
 
Last edited by a moderator:
jamani kuna yeyote anayejua matokeo ya mtihani wa QT 2012 yanatoka lini? maana kuna mtoto ananisumbua sana. napata habari mkanganyiko, mara yameshatoka mara hayajatoka, anybody, somebody, help!
Ninavyofahamu huwa yanatangazwa pamoja na matokeo ya kidato cha nne, tega sikio kufutilia matokeo ya kidato nne na hayo utayasikia tu
 
Ninavyofahamu huwa yanatangazwa pamoja na matokeo ya kidato cha nne, tega sikio kufutilia matokeo ya kidato nne na hayo utayasikia tu
Thanks. The only constructive answer. Mungu akubariki sana kwa taarifa hiyo.
 
si useme tu ni wewe! hongera kwa kufika kdt cha 2
How old are you? I hope most of us are adults in here, and not prone to childish games my dear. so when people ask questions, be your age and give serious answers!
 
Naona MAMA YUVA umeamua kupiga kikoloni kabisa ili wanaokuandama wajue kwamba wewe sio QT. ok kama mdau alivyojibu hapo juu yakitoka tu ya fom4 basi check na QT utayakuta
 
Naona MAMA YUVA umeamua kupiga kikoloni kabisa ili wanaokuandama wajue kwamba wewe sio QT. ok kama mdau alivyojibu hapo juu yakitoka tu ya fom4 basi check na QT utayakuta
Thanks Kamili Gado na Dancani, Mungu awabariki, nimeona matokeo leo, bahati nzuri wametoa kwa majina, unfortunately mtoto niliyekuwa namsupport ili ainuke amefeli, and she has no one to blame but herself, alipewa all options. tunatafuta other alternatives!
 
Back
Top Bottom