Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani matokeo ndo hayo,subirieni malalamiko.Ooh Ndelichako anapendelea.Hapo napo je?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nataka kupata majina yenu na nijenge hoja. Nijenge hoja,kama raia wa kawaida wa nchi hii,kuwa mnapaswa kurudia mitihani ya kidato cha nne. Kama si kutungiwa mitihani mipya basi mrudie mitihani na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtu anayepata divion zero aka Dunia duara anawezaje kuandika haya? "nawashangaa wabunge, wamekaa kama wapo kijiweni, wabunge wamekosa ustaarabu, badala ya kujadili kero za wananchi waliowachagua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Yeah ! Mimi ni miongoni mwa candidate wa mwaka jana 2012 .Bado naamini kila kilichotokea kwangu was fate Nina C ya chemistry na yalyobaki yote D Big deal mawazo kutoka kwenu nifanyaje ?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu....! jamani me naomba mwenye uelewa wa ndani kuhusu elim ya bima nifafanulie tofauti, faida na hasara, na taratibu za bima kati ya comprehensive na thirdparty. nategemea msaada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanasema kila jambo lina uzuri na ubaya wake...hivi karibuni tu Taifa la Tanzania limepokea matokeo ya form four ya mwaka 2012. Matokeo yanaweza kuwa mazuri au mabaya,kwenye hili tunazungumzia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nawaomben msaada wa matokeo nipo kijijin ambako taarifa nazpata kwa simu kupitia JF. Naomba mniwekee matokeo ya form four_2012. Namba ya shule S.4100 (salama)
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nasikia jamaa aliyejenga jengo lililobomoka dar alisoma udsm....?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wadau wa elimu, wazazi na wanafunzi waliomaliza form four Yawezekana matokeo ya kidato cha nne yakawa ni yenye kukatisha tamaa na kuhuzunisha lakini maisha siku zote yana fursa nyingi za wewe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wa dau wa jukwaa hili la elimu......nahitaji msaada wa haraka wa kutaka kujua ni chuo gani au taasisi gani inayotoa course mbalimbali zinazohusiana na mambo ya MISITU.......nashukuru...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Wadau nipeni ushauri kuna ndugu yetu ni private candidate amepata C tatu, english, kiswahili na civics nikisema aende A level combination inakataa maana kapata F ya history Karibuni
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Naombeni msikilize ujinga wa Clouds Fm, nime tune clouds Fm, nilitegemea kusikia leo watangazaji wangekuwa wakali sana kuhusu kufeli kwa watoto wa kidato cha nne kama walivyokuwa wakali...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Nanukuu kutoka kwenye gazeti ka mwananchi "...MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yametangazwa. Watahiniwa 240,903 sawa na asilimia 60.6 wamepata sifuri, ... Akitangaza...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakubwa shkamoni. Wenzangu za sahizi. Kama Mtanzania ulisha wahi kujiuliza ni kiasi gani cha madeni ya nje nchi yetu inadaiwa.? Kuwa na madeni ni jambo la kawaida ila muhimu tu, ufanye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hebu nishaurini hyu mdogo wangu aende wapi kuresit amesema hawezi sasa nshaurini nmpleke chuo gani hapa bongo
0 Reactions
18 Replies
2K Views
USHAURI ***************** 1-Kutokana na matokeo ya form 4 kuwa mabaya kuliko maelezo,ningependa kuwe na siku ya maombolezo na bendera ipandishwe robo mlingoti 2-Form wote waliofeli warudie...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nani aliyesababisha matokeo yakawa yanaoneshwa kwa namba badala ya majina? Atakayepata nampa zawadi kwenye inbox yake.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanaodahiliwa kuingia sekondari 70 percent hamna kitu kichwani.Idea za kina PLATO lazima zifanye kazi.si kila mtoto anastahili CLASSICAL EDUCATION(elimu yadarasani)wengine wangepelekwa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DAR ES SALAM CITY COLLEGE TAWI LA MBEYA CHUO KIMESAJILIWA NA SERIKALI (NACTE) NO.PWF /PWF/025 KINA WATANGAZIA MUHULA MPYA WA MASOMO UTAKAOANZA TAREHE 16.3.2013 USAHILI UTAFANYIKA KUANZIA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kesi inayowakabiri wanafunzi watatu Christopher Mbusule, Wilfred Bocasa na Benny Solo itasikiliywa tena kesho kwenye mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya hakimu Walyarwanda Lema,Mwendesha...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom