Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nina swali dogo kwa walimu wenzangu Tanzania. Hivi inakuwaje wengi hampendi kutambulika kama walimu? Utamwona mwalimu ameandika kwenye profaili yake ya Facebook kuwa yeye ni Education Officer...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Majani ya Chai, Yasinta Assey akionyesha baadhi ya nguo na viatu vya wanafunzi vilivyokutwa katika eneo linalodaiwa kuwa danguro linalotumiwa na wanafunzi wa shule...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mwenye cv za naibu waziri wa elimu mh.philipo mlugo msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Je ipi kati ya hizi postgraduate cources inalipa au inasoko? Masoko, Ugavi, Usimamizi wa biashara au Rasilimali watu
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Napenda sana kusoma sheria. Lakini nasikia inachukua pesa na miaka mingi. Je ni lazima nisome Law school ili niwe lawyer?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jf,kuna kozi mpya ya masters imeanzishwa mwaka huu 2013/2014 pale mzumbe university,je kwa mtu ambae ana bachelor of arts with education{BA.ED} anaweza kusoma hiyo kozi ya masterz...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nisaidieni wana jf course ya kusoma nianze na certificate kwa sababu sina muelekeo nina d zote na c ya n
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau naomba kufahamishwa na m2 yeyote kama ana taarifa yoyote kuhusiana na kazi ya muda inayohusiana na shahada ya jinsia na maendeleo (Bachelor Degree In Gender and Developnment) naomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nina mdogo wangu tulikuwa tunamwambie apige kitabu akawa analeta mzaa alipata 4 ya 29 mwaka 2010 familia ilishauliana la kufanya na tukakubaliana dogo akapige A level uganda dogo amemaliza na...
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Msaada kwenu wanajf. Nina four 30 sijui nifanye nini? Nahitaji kufahamu kama nikienda certificate nikachukue course gani ambayo itanisaidia kujiajiri mimi mwenyewe.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani kama mnavyojua matokeo ya kidato cha nne hayakuwa mazuri kwa wadogo zetu.Nimeamua mdogo wangu asome certificate na baadaye tafanya dip na kuendelea badala ya kulist.Sasa naomba ushauri kozi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar wana jf mimi ni mhitimu wa Diploma ya mifugo(Lita-madaba) 2012 na nataka kuendelea na masomo lakini kilichonishtua ni kuwa eti bodi haitoi mkopo kwa diploma ila yule atakae soma health...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Dear Brother at Jamii forum, I am looking for public universities/colleges of health science that offer a diploma and certificate programs in medical laboratory science and technology,clinical...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa majina naitwa STEVEN PETER SAMSON, yaani STEVEN jina langu, PETER jina la baba, na SAMSON jina la babu. Shuleni naitwa STEVEN SAMSON PETER, yaani STEVEN(first name) SAMSON(S.) (initial/middle...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa i think mko good at al kinacho nishangaza mpaka mwezi march unaisha kila siku nikienda skull headmaster anaxema bado tatizo nini wana jf na mimi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwalimu akionyesha mfano wa choo unavyoonekana katika moja ya shule za msingi nchini KWA UFUPI Wanafunzi hao ni kati ya wengine maelfu nchini ambao kila siku wanalazimika kupanga foleni, kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jaman Wadau humu ndani, wanaoelewa hili,Hivi pass inayoongelewa na vyuo kuhusu certificate course,ni D au C,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina 4 ya 27 math f nina penda kusoma DIT sijukama maksi yangu inafaa kama inafaa naombeni nichagulieni coz pamoja na kunijulisha gharama ili niangalie uchumi wangu naombeni nisaidieni?
0 Reactions
1 Replies
727 Views
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Mimi ni mwalim wa shule ya msingi nipo mkoa wa SHINYANGA wilaya ya KISHAPU natafuta mwl wa kubadilishana nae toka wilaya ya serenget mkoa wa Mara kuja wilaya ya kishapu aliye tayari aniPM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…