Wakaazi wa visiwa vya zanzibar wakiwa wakijiuliza maswali mengi kutokana na ilekauli ya Rais wa kwanza Marehemu MZEE ABEID.AMANI.KARUME.Alipotamka kuwa, elimu ya wazanzibar ni kusoma bila malipo...
jaman wadau sioni raha kabisa kuona ukurasa wangu haua hata rafiki mmoja, nimejaribu kutuma request but hakuna jibu So jaman naomba mniunge mkono katika hili but remember to Make as many friends...
Tetesi zilizpo kitaa ni kuwa mitian iliyopangwa kusahihishwa upya imeahirishwa kwa kuwa kuna watu waliojinyonga kutokan na matokea hayo na kuna watu waliorudia madarasa au hat kwenda chuo hivyo...
Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi. Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo halmashauri ya mji mpanda, nataka kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka shinyanga mjini, atakayependa kufanya...
Najua nami yanaweza kunikuta ila nawapongeza PSPTB kwa kubadili mfumo wa kupenda kurudia past papers kwenye mitihani yenu......
Ofcz waliofanya PIV wataniunga mkono kwamba paperz za May 2013...
Moja ya gazeti la kiswahili la tarehe 15 Mei, 2013 limetoa tangazo lililosomeka "POSITION VACANT" pamoja na kuweka sifa kedekede za mtu mahiri wanayemtaka aiongoze shule hiyo mpya inayotarajiwa...
Kama wewe ni mhitimu wa kidacho cha sita au una mdogo wako kamaliza kidato cha sita na unaplan kumshaur achague kusoma UDOM especial hii college ya INFORMATICS, nakushaur ufikirie mara mbili...
Dr. Aldin Mutembei alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma ya Kiswahili (TATAKI), University of Dar es Salaam, amevuliwa madaraka ya Ukurugenzi wa TATAKi kufuatiwa tuhuma za Ubadhirifu wa Pesa za...
Itende high School iliyopo Mbeya mjini, nje kidogo ya jiji, ina tangaza OFA kubwa ya ada ya shule KUTWA sh 250,000 kwa mwaka mzima:
Hii na kidato cha 5 & 6 tu.
Kidato cha 6 ni kwa nafasi za...
CHUO CHA UHASIBU ARUSHA
Kutokana na Chuo kufungwa, Baraza la Uongozi wa Chuo
katika kikao chake cha dharura cha tarehe 03 Mei 2013
kimeagiza wanafunzi wote kuanzia ngazi ya Cheti mpaka...
Mapendekezo kuhusu matokeo tata
Mwenyekiti wa tume ya waziri mkuu ya kuchunguza sababu za kushuka kwa ufaulu wa kidato cha nne mwaka 2012, amesema kuwa kuna mapendekezo mengi na baadhi...
Wana jf, hivi sasa katika chuo kikuu cha waislamu morogoro (mum) kuna kampeni zinaendelea za uchaguzi wa ccm katika ngazi mbalimbali za uongozi. lakini cha kushangaza ni kutozingatiwa kwa kanuni...