Habari wadau, naomba kwa yeyote aliyesoma MBA udsm au chuo kingine
chochote anisaidie material za kozi zifuatazo:
>Quantitative Methods
>Organization Theory and Management
>Managerial...
niliomba schoralship kidato cha tano ktk private school mwezi wa nne sasa.... Nilipata III 25 credit nazo tatu ila combination haiku balance...mdau nisomeshe ntakusomeshea mtoto wako pia kama...
Habari zenu wasomi? Mimi niliwahi kusoma hii elimu ya sekondar ya miaka 2 yaan QT. Nilisoma mwaka 1, nilipofanya mtihan wa form2 majibu yalipotoka nikawa nimafaulu ila nilishindw kuendelea...
Ndugu zangu wapendwa, nawasalimu kwa adabu na utii.Salamu zangu za dhati ziwafikieni ninyi nyote.Natambua majukumu makubwa yanayowakabili katika kujenga taifa hili changa ambalo limepata uhuru...
hakuna jkt kwa awamu ya tatu(3) ila tangazo lililokuwepo kwenye web ya jkt ni la kuwapa moyo walioenda jkt awamu ya pili kuamini kuwa wote tutaenda lakini kiukweli hakuna awamu ya 3 kwaiyo chuo...
Wanajamvi me napenda munijuze juu ya Nacte or Cisco or Ncc hipi elimu yake hko bora zaidi ya,and soko la ajira or nafasi za kujiajili zipo?please naitaji msaada now.
HOPE UR ALL DOING FINE,, !! SEEKING FOR LEVEL 5 (IV) SOFT COPIES KWA MWENYE NAZO PLEASE NAOMBA NI PM , AU NI EMAIL KWENYE iconkb10@gmail.com
email me , iconkb10@gmail.com. thanx and GOD BLESS U ALL
Naomba ushauri wenu wana JamiiForums.
Nina nafasi mbili za kusoma nasijafahamu course ipi ni bora na chuo kipi ni bora katika coure na vyuo vifuatavyo'
DIT- Computer Engineering
ATC-...
wana JF wanafunzi wa SEKOMU wanaojiandaa kuanza mitihani yao ya kumalizia semister yaani(UE) wamejikuta wanaambiwa kama ulikuwa hujakamilisha ada kulingana na dead line hutakiwi kufanya UE wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.