Kama topic inavyojieleza
Mwenye upeo anisaidie hatua za kufuata ili kuahilisha masomo ma uapply tena next year maana nimeachwa na H.E.S.L.B na siwezi kumudu hata nusu ya gharama zinazohitajika...
Jamani kuna continuous applicant yoyote aliyekosa mkopo kwa mwaka jana na akaomba mwaka huu ambae amepata mkopo?...Ama Loan Allocation zilizotoka ni kwa first year peke yake?...nawasilisha
KWA WALE WENYE SHIDA YA VITABU VYAKUSOME KUANZIA FORM ONE MPAKA CHUO KIKUU. TUNATOA HUDUMA HIYO HARD COPY NA E-FORMAT.
KWA MAWASILIANO ZAIDI
BOFYA
www.mvuto.com
mtafute kijeba...
-department of chemical and mining engineering
-department of electrical and computer systems engineering.
-department of structural and construction engineering.
-department of transportation...
kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza na kushindwa kupata jibu au kung'amua wapi ambapo elimu ya Tanzania imekwama. Kimsingi mimi nimezaliwa mwanzoni mwa miaka ya themanini na wakati nasoma...
Vija tukumbuke kwamba,nchi hii inatawaliwa na dhana ya kujuana sana,,,ila kama umekosa mkopo usikate tamaa,,,cha msingi ni kujua tatizo la nchi yetu liko wap?na tunatatu vip?lanzima tujitaidi kwa...
habari ni kuwa ,haya najina yaliyotoka niya wale wanafunzi wanaoenda first year mwaka huu,then yatafatiwa na majina ya wale wanafunzi wa chuo wanaopata mkopo lakini waliomba tena ili waboreshewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.