Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

"The Biblical Money Code" Discover the Lost Investment Principles of Scripture to go from being a Saver . . . to an Investor . . . to a Philanthropist...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mlioenda bodi ya mkopo jaman naombeni mniambie inakuaje?!
0 Reactions
0 Replies
624 Views
kama nimekosa mkopo mwaka huu,mwakani naweza kuomba tena na nikapata?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam jamani.. Hizi habari niloskia ni za kweli au la ya kwamba NACTE wamewamaindi HESLB kwa kutowapa mkopo waliomaliza diploma mwaka 2013???
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wana jamvi! Mi ni mdada nitokaye ktk familia yenye kipato cha kawaida. Natarajia kujiunga chuo kikuu mwaka huu, Hali inakuwa tete kwani nimechaguliwa chuo chenye ada kubwa nahofia kusoma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
je wajua kuwa wanafunzi wa first year waliopata neema ya HELB Unatakiwa ufungue account ya benk kata ya matawi yafuatayo CRDB,NBC & NMB Ila swali je ni lipi kati ya haya matawi ni nzuri zaidi na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jaman hii ndiyo habari ya bodi ya mkopo sasa...kama unajua umeandikiwa ''not secured means...no loan''...haya imekula kwetu Nipo bodi hapa na watu ni wengi na sioni mustakabali wowote
0 Reactions
23 Replies
3K Views
habari..nimefika hapo ofisi ya mkopo tangia saa kumi na mbili na nusu asubuhi....ila daah hadi sasa no service yaan...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
huu ndio wakati wakufanya maamuzi kati ya kuvaa gwanda au kupiga kipapa au vipendo chagua moja kusuka au kunyoa,chagua moja unga wa ndele au rutuba
1 Reactions
6 Replies
1K Views
msaada jinsi ya kuhama course college moja kwenda nyingine
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Msaada, Ndugu yangu amefanikiwa kupata schoolarship ya commonwealth dakika za majeruhi. Shule inaanza 1/10/2013. Leo ndio amepata all the docs kwa ajili ya application ya Visa. Nimefahamu kwamba...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
nimechaguliwa bsc in geology coNas nihitaji kwenda bcom in Acc udbs msaada plz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Guys naomba niulize,,, hvi hayo majina ni wote walioomba mkopo au ni wale first year tu... maana kama mimi ndo naingia 2nd yr lakin ndo nimeomba kwa mara ya kwanza mkopo... so cjajua lile neno...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Jana nilikuwa naidurusu website ya udom! Nikakuta tangazo ati usipolipa ada na direct cost mpaka 30 sept, hautafanyiwa usajiri tareh 12/10, Sijaelewa hii imekaa vp. Yeyote mwenye ufahamu wa hili...
0 Reactions
3 Replies
945 Views
naomba msaada hela zote wameniwekea meals and accomodation tuition fee lakini field practical wameweka 0
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu!naomba msaada kwa aliyeweza kufungua adm letters za UDOM,mimi nimejaribu kufuata maelekezo kama walivyoelekeza kwa kuingiza index no.ya form 4 kama username na surname kwaherufi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimesikitika sana kw idadi kubwa ya wanafunz wapya wa vyuo vikuu kukosa mikopo mwaka huu ni kweli kuwa isingekuwa rahisi watu wote kupata lakini kwa idadi ya waliokosa inatisha mwaka huu. Lawama...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
naomba kuangaliziwa hii namba kua nimepata loan au vp tafadhali S0419/0046/2010
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimefanya mtihan mwaka jana form 4 na niliambulia B/KEEPING- D COMMERCE- D BIOLOGY - D B.MATHS - C nime0mba Chuo nilitaka kusoma Account nimekosa sijafahamu hadi n0w nifanye nini...
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Mimi Ni Mwalim Wa Sekondari Manispaa Temeke Masomo Ya Arts Natafuta Mwl Wa Kubadilishana Nae Toka Ilala,kwa Anaehitaji Tuwasiliane Kwa E_mail:wycliffe181@gmail.Com
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Back
Top Bottom