Second hand
Member
- Jan 20, 2013
- 72
- 7
Jana nilikuwa naidurusu website ya udom! Nikakuta tangazo ati usipolipa ada na direct cost mpaka 30 sept, hautafanyiwa usajiri tareh 12/10, Sijaelewa hii imekaa vp. Yeyote mwenye ufahamu wa hili anijuze
Hongereni sana kupata bahati ya kusoma chuo bora (udom)
1st year karibuni sana udom,