Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwa anayeitwa au anaemfahamu SUNDAY LAMECK ambaye amemaliza kidato cha sita Jitegemee Secondary mwaka 2012 awasiliane hapa cheti chake kimeokotwa.
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Help me please
0 Reactions
2 Replies
972 Views
Tafadhali naomba kujulishwa shule kumi bora kitaifa kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2013. Soma Pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008 Matokeo ya Mtihani wa Darasa la...
0 Reactions
1 Replies
16K Views
Nimeshangazwa na utaratibu wa hawa wajasiriamali wenye shule za majina ya watakatifu.Watoto wameachwa stendi leo na gari ya shule ya St.Hellen kwa kile kinachodaiwa hawajamaliza ada ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukisoma mtandao wa wizara ya elimu mpaka sasa utakuta taarifa ya katibu mkuu kuhusiana na madaraja na alama katika mitihani TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naamini kila alichokiumba Mungu ni sahihi na kakiumba hivyo kwa sababu yake na Mungu hakufanya kosa hata kidogo, pamoja na ukweli huo bado wanadamu tumejifanya wajuaji, unakuta wadada wanajichubua...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
hapa kila kitu cha kugombea.lecture rooms tunabanana sana,hostel ni zile room tangu advance,na hazitoshi watu wanapanga mbali.
0 Reactions
40 Replies
7K Views
msaada wandugu naombeni kujua kuhusu mtu anayeahirisha kwenda chuo na alipata mkopo kuna utaratibu gani wa kuufuata?
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Mambo ya kuzingatia kabla na wakati wa job interview by Mbunge WAPO VIDEO TUBE
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Ndugu wanajamvi, Nimejaribu kusearch kwenye internet kuona kama naweza kupata taarifa mbalimali hasa katiba yao kwenye internet sijafanikiwa. Kwa mwenye kufahamu anijuze,kwasababu kwa karne hii...
0 Reactions
1 Replies
605 Views
check link yao GEL
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Habari..naomba mnijuze kwa yoyote anayejua second selection results ya Muhimbili University kwa walioapply diploma...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Habari za majukumu wana JF..., Naomba kujua TAASISI inayohusika na suala zima la VYETI VYA KUGHUSHI ili niweze kutoa taarifa juu ya hilo. Tafadhali unapojibu nipe na ADDRES ya taasisi husika kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kindly i m seeking anybdy to ounteer to educate us on the general concept and historical development and management school of thought notes...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Ndugu wana JF. Ofisi ya tigo (kontena) iliyopo mji wa KAHAMA tokea tarehe 20 hadi 22 novemba, 2013 imeshindwa kuwahudumia wateja wake eti kwa sababu hawana jenereta kwa ajili ya kuwasha kompyuta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina vigezo vyote vya kuomba scholarship fulani kupitia TCU isipokuwa kigezo kimoja tu: umri umevuka mstari, yaani nina miaka zaidi ya 25, kwa sura nina baby face si unajuwa watu waliozaliwa 197*...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa kutumia mfumo mpya ufaulu wa Kidato cha Nne mwaka jana ungekuwa asilimia 94 Dar es Salaam.Wakati Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne nchi nzima ukiendelea, imebainika kuwa madaraja na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Igweeeeeeee.......! I'm a Literature in English teacher and I've been seeking for the mentioned subject syllabus for four years now but to no avail. I went to the TIE offices and bookshop only to...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Use your TV decoder to get superfast, free and unlimited access to the internet! Follow link: HOW TO-ACCESS-FREE, UNLIMITED INTERNET VIA DECODER - --------------------------------------- HOW SCIENCE
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom