Nyangoro Indicted in Probe of Academic Fraud Julius Nyangoro, one of the focal points of an academic scandal that spun off the NCAAs investigation into UNCs football program, was indicted...
Mwaka wa 3 hamnipi mshahara wangu na nilitimiza vigezo kwenda masomoni na kila nikifika hapo kwa mkurugenzi makarani wanasema ataitwa afisa utumishi na Deo,Msitumie ubabe pasipostahili...
Habari wana jf! Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili katika lugha, katika chuo kimojawapo nchini. Nafanya utafiti mdogo katika "Maasai Nominal Morphology"( kama hujui hii terminology...
Chuo cha utumishi wa umma tawi la Mtwara chasimamisha wanafunzi wake kimasomo kwa muda wa mwaka mmoja wakiwemo wawili waliokuwa semista ya mwisho kwa kosa la kukutwa na chabo ndani ya chumba cha...
Ndugu wadau. Napenda kufahamu endapo mtumishi wa umma amepoteza salary slip anatakiwa aende wapi ili aweze kuipata tena kama ile iliyopotea au hata mbadala wake?
Habari wadau,
How to calculate the quantities of ingredients of concrete(i.e cement,sand and aggregate) of known grade
e.g grade c 20 (1:2:4) ,for 1cubic.m of concrete.
Karibu kwa mchango wowote...
Jamani wadau natafuta kitabu hiki kwa udi na uvumba mwenye msaada jamani ajitokeze.
Educational planning and administration by .Emanuel BAbyegeye.the open university of tanzania fuculty of...
Kwa mahitaji yako yote ya ushauri pamoja na uandishi wa kitaalam wa CV, miradi, business plan na professional letters kama transmital letter!!!!!
Kwa bei nafuu kabisa tuwasiliane
+255 766 909 880...
Habari njema kwa wanafunzi wa SUA wakati tukisheherekea kuwaaga dada na kaka zetu waliohitimu leo... Ni kwamba majina ya loan beneficeries yamebandikwa kwenye ubao wa matangazo pale Freedom...
Hivi kwa nini?assistance lecha hasa wa social science mnawapiga bit wadogo zetu kwamba lazima umkerishe koz wakiwa mwaka wa 3,tena unajisifu na kutaja list ya watu uliowakerisha ambao wamesoma...
minaona wakati mwingine mtu unafanya maisha yakawa magumu mwenyewe, mtu unachagua education sua, ukija huku kwa semista unasoma cozi tisa natena nyingine hazina mahusisno kabisa na ualimu, baada...
Jamani kwa mwenye namba ya simu ya mkurugenzi wa bodi ya mikopo anisaidie niweze kufanya mawasiliano nae kupata confirmation, mwanzoni tunaripoti chuo tulipata rumours za kuongezewa ada lakini...