Ajira mpya 2013/2014

Realbest

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
809
293
Jaman kwa habari znazo zidi kuvuja inasemekana kuwa ajira mwaka huu itachelewa kidogo hadi mwezi Wa nne, Je kuna ukwel wowote wadau?
 
Umesikia wapi?............muulize vizuri huyo bana alafu tuletee habari kamili
 
Ajira mwaka hakuna, maaana serikali haina pesa. Nyie si mmeckia hata mwezi huu serikali imesua sua kuwalipa watumishi mishahara? Endeleeni kukomaa vijiweni au kupaka rangi mitaaani.
 
Hlo swala nmelisikia mkubwa na ndomaana nkaiweka mada hii, Kwamba mwaka huu huenda ukawa hstoria
 
Back
Top Bottom