Habari, natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi(AFISA KILIMO) Kutoka mkoa wa MOROGORO, DAR, TANGA NA
PWANI. Aje Mkoa wa MBEYA Halmashauri ya MBEYA. Mawasiliano no. 0657949631, email...
Naomba tulinganishe madaraja yaliyokuwa yakitumiwa na Necta kabla ya madaraja mapya.
alama zilizokuwa
zikitumiwa awali na Baraza la Mitihani la
Taifa (Necta) katika kupanga matokeo
hayo...
Mmetangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mtihani uliofanyika mwaka 2013, hata kama ni BRN ni sawa, lkn mmeacha maswali mengi yasiyo na majibu, mfano:
1. Hakuna ufafanuzi credit ni ipi kwa sasa...
Habari zenu wakubwa na wadogo, siku ya trh 22,2 ilikuwa ni siku ya furaha kwangu baada ya kupata matokeo yangu ya kidato cha nne na kufaulu vizuri. Nilipowajulisha walezi wangu kuhusu hayo matokeo...
Wanajamvi,
Kumbe kitendo cha kugomea divistion V ndio imeletwa katika sura tofauti. Hivi tunaipelekawapi elimu yetu jamani? Ukifuatilia mgawanyo wa Grades utagundua hii ni janja janja na ufaulu...
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaweza kutumika kama uthibitisho mwingine wa nguvu ya kanisa katoriki nchini Tanzania. Hizi ndizo shule 10 bora:- 1. St.Francis Girls (Mbeya)...
Samahanii jamni kutokana na mfumo mpya sijajua kama hapa combination yenye history yakubalika! Nimepata History E. Geography C. Civics D. English C. Math F. Literature E. Kiswahili B. Biology D...
kwa habari zaidi ebu chek hapa........"feza girls" aaibisha kwa kuibuka na division iv pekee huku wengine waking'ara vema........
http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm
Heko kwako mdau, nilikua naomba kwa anayejua proses nzima kwa liyefaulu kuendelea na kidato cha tano ni hatua zipi zinafanyika jee kuna barua yeyote labda mhusika huletewa ili kujulishwa shule...
Ada ya shule rosmini ni sh ngap? na wanayo combination ya ECA? kwa anayejua anifahamishe tafadhali. nina mwanangu ana A ya Commerce na A ya B/keeping na anapenda sana hiyo shule.
Naomba kuwasilisha
Private school owners express doubts
Second selection now set for March 1
Prof Eustella Bhalalusesa, Ministry of Education and Vocational Training Commissioner of Education
Pupils not...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.