naomba msaada, yoyote mwenye kujua course content ya MA project planning and management inayotolewa hapo UDSM, NAOMBA MSAADA. NIMEOMBA MSAADA KWENYE JUKWAA LA ELIMU SIJAFANIKIWA HEBU WANASIASA...
Ndugu wadau naomba tujiulize kwanza,
Kwa mfumo wa zamani grade A ilikuwa 81-100,grade B ilikuwa 61-80,grade C ilikuwa 41-60,grade D ilikuwa 21-40 na mwisho ni grade F ilikuwa 0-20. vivyo hivyo...
wadau wa elimu na walio na uzoefu naomba mnisaidie kwan natakiwa kusoma somo moja kati ya hayo mawili,hivyo nauliza somo lipi linafaa kati ya investment na credit and lending,npo chuo mwaka wa pili
Nimegundua ubora wa elimu hapa TZ,ulianza kushuka miaka ya 2008, kama tunakumbuka kipndi hiki(kikwetism) mitihani ya taifa form 2 na form 4 ilivuja mno, Madogo wengi walitusua kwa kwenda shule...
Jamani, wazazi kuweni makini, na baadhi ya walimu, wa mchikini walimu wamekalia kuwa mara muddy ana one ya tatu, mbuga one ya nne, muramura one ya tatu, walimu wote waliobaki akina mgote, unga,na...
The number of Kenyan students studying in Ugandan universities has declined, officials have said.
Kampala University, which has the highest number of Kenyan students after Kampala International...
Habari zenu wakuu. Mwenzenu apa nna ndoto za kuwa airline Pilot japo tanzania hatujawa na kampuni zenye kumiliki boeing na airbus (itoe fastjet mana si yetu). Tatizo kipato kinanizuia maana cost...
Teaching aid si neno geni katika sekta ya elimu hasa kwa walimu.
Hiki ni kitu kidogo sana lakini huwa kinaleta shida hasa kwa walimu walio ajiriwa, uandaaji wa vitu hivi umekuwa shida kweli...
Hivi wakuu inawezekana kwa mtu aliyekwisha sajiliwa chuo kuomba upya kwa kozi nyingine na akakubaliwa? Je! Mkopo nitauhamishaje? Au nako itanibidi niombe upya?
Dodoma.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ameelezea kukerwa na daraja la tano katika muundo mpya wa kupanga matokeo, kuitwa sifuri.
Dk. Shukuru Kawambwa, aliyasema hayo...
Ilikuwa ni mwaka jana, Bw Ntembanda aliyekuwa akisoma chuo kimoja hapa dsm, bwana huyu akiwa mwajiliwa wa kampuni moja hapa mjini, bwana wa familia ya mke na watoto watano, alienda pale...
An academically accredited course that is building leadership for Knowledge Society Development in Africa
No course fees required!
This course is for public sector employees/civil servants...
Hodi humu ndani!
Jamani week iliyopita nilipigiwa simu (namba naihifadhi) ikinitaja kwa jina langu, ikiniuliza kama nilishawahi kuomba sponsorship ubalozi wa Belgium, na kama bado niko shule au...
Uchambuzi huu umezingatia kigezo cha shule kongwe kihistoria. Ni zile zilizoanza kabla ya uhuru.
1. Sekondari ya Mzumbe
Imeshika nafasi ya 40 kitaifa. Ufaulu kwa madaraja ni kama ifuatavyo...
mimi nimemaliza kidato cha 4 mwaka jana nmefaulu naenda A level na kombi ya PCM....sasa nilitaka nikifika chuo nisomee mambo ya computer,,,je nijipange kusomea upande gani wa computer??....kama...
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF ENERGY AND MINERALS
CHINA SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FOR 20141.
INTRODUCTION
Applications are invited from qualified Tanzanians to apply...
Naomba mwenye kufahamu 'modules' za kozi ya post graduate diploma in procurement and supply katika chuo cha Institute of Accountancy Arusha.Je, kwa mwenyeshahada ya elimu anaruhusiwa kusoma kozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.